King Easy
Member
- Aug 11, 2013
- 46
- 59
Ndege ya jeshi la Urusi, iliyobeba watu zaidi ya 90, imeanguka katika bahari ya Black Sea , punde baada ya kuondoka Sochi, ikielekea Syria.
Wizara ya Ulinzi inasema hakuna mtu aliyenusurika.
Meli, helikopta, na ndege zisozokuwa na rubani zinaitafuta ndege hiyo. Mabaki ya ndege yamepatikan kilomita moja na nusu kutoka mwambao.Televisheni ya Urusi imecheza rikodi ya mawasiliano ya mwisho baina ya wanaoongoza safari za ndege ardhini na rubani wa ndege hiyo.
Hapakuwa na ishara ya matatizo, na rubani alisikika ametulia, hadi ndege ilipotoweka.
Abiria wengi walikuwa kutoka kikundi cha bendi ya muziki cha jeshi kwa jina Alexandrov Ensemble
Wanamuziki hao walitarajiwa kufanya tamasha ya mwaka mpya katika kambi ya Urusi mjini Latakia, Syria.
kikosi cha bendi cha jeshi maarufu kwa jina Alexandrov Ensemble.Image copyrightAFP
Image caption
kikosi cha bendi cha jeshi maarufu kwa jina Alexandrov Ensemble
Ndege hiyi ilipotea katika mitambo ya Rada, muda mfupi baada ya kupaa angani, kutoka kwenye uwanja wa hoteli moja iliyoko maeneo ya Black Sea huko Sochi.