Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha hasa hasa ktk kwa madiaspora na wengi wao wanaishi USA!
Sasa USA wameamua katika hali inayoonekana kuwa ni hatua ya kwanza ya total surveillance kwa wasafiri wote ambao kwa sasa hawahitaji viza kuingia USA kuweka wazi akaunti zao zote za social media kama twitter, facebook, instagram n.k.!
Halii hii bila shaka itapelekea pia nchi hizo kuwataka raia wa USA pia kuweka wazi social media accounts zao kabla ya kuingia EU!
Najua hapa JF kwa kuwa kafanya Mzungu, Mwafrika atatoka povu kuteteta na kuhalalisha na kusema hii ni ya Mzungu ni Demokrasia na ya kwetu ni udikteta!
Uncle Sam Wants Travelers to Hand Over Social Media Accounts