Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nimemsikia Rais Obama akisema kuwa Rais wa Urusi Putin ameingilia uchaguzi wa Marekani ni kusababisha Bi Hilary Clinton kushindws Na Donald Trump.Najiulisha Urusi imewezaji kuingilia? Urusi imefanya nini mpaka Trump akashinda?
Je ilichezesha mitambo ya kuhesabu kura? Kwa anaejua atufahamishe Urusi imefanyaje.
Je ilichezesha mitambo ya kuhesabu kura? Kwa anaejua atufahamishe Urusi imefanyaje.