Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Nchi ya Senegal hivi sasa ipo katika mgogoro mkubwa sana na taifa la Israel baada ya kuhusika katika UN kuanzisha azimio la kupinga ujenzi wa makazi ya wayahudi katika ukingo wa magharibi wa mto Jordan.
Inashangaza sana kuona nchi za watu weusi zikijikanyagaga kuhusu ugomvi wa Israel na Palestina. Israel imesimamisha misaada yake yote kwa Senegal na kumuita balozi wake nyumbani.
Inashangaza sana kuona nchi za watu weusi zikijikanyagaga kuhusu ugomvi wa Israel na Palestina. Israel imesimamisha misaada yake yote kwa Senegal na kumuita balozi wake nyumbani.