Wanaharakati watano watetezi wa haki za wapenzi wa jinsia moja wamekamatwa na kuziliwa mjini Moscow.
Walikamatwa walipokuwa wanaelekea kwa afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Urusi kuwasilisha...
Talkin in his usual prophesying services in his church in Nigeria on 3rd Janb2017, TB Joshua warned that he saw a vision about a dangerous unkown arrow in the hands of NK Kim, that will be thrown...
Wadau napenda kufahamu juu hasa ya nchi hii isiyo na makeke kabisa katika nyanja nilizotaja!
Hali ya maisha ya warusi ikoje, je kuna uhuru wa maoni, siasa zake zinaendeshwa vipi? Vipi hali ya...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesifu kujitolea mhanga na kujitoa kafara kwa watu wa Muungano wa Usovieti wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Bw Putin alisema hayo wakati wa maonesho ya kila...
Takriban watu 22 wamefariki baada ya ukuta kuwaangukia wakati wa harusi Kaskazini mwa India
Wageni hao walikuwa wamejikinga na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kabla ya ukuta huo kuwaangukia...
My beloved companion,
I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still be alive when you read them. Throughout my struggle...
Takriban watu 22 wamefariki baada ya ukuta kuwaangukia wakati wa harusi kaskazini mwa India.
Wageni hao walikuwa wamejikinga na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kabla ya ukuta huo kuwaangukia...
Rais Salva Kiir wa Sudan kusini amemfukuza kazi mkuu wa Jeshi la nchi hiyo Jenerali Paul Malong.
Hakuna sababu yoyote iliyotajwa katika vyombo vya habari vya serikali, lakini katika siku za hivi...
Baada ya utawala wa Colonel Gaddafi uliodumu kwa miaka takribani 40 na kumalizika rasmi kabisa mwaka 2011, Libya mpya ilizaliwa ikiwa chini ya serikali ya mpito wa wale walioshukiwa kua ni waasi...
Johannesburg - Former African National Congress Youth League president Julius Malema joined the ANC at age 14 in 1990 and moved through the ranks of the Congress of South African Students where he...
Kampuni ya ndege ya kibiashara ya China (COMAC) imetangaza kuwa ndege kubwa ya abiria ya C919 inayotengenezwa China, leo imeruka kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Pudong, Shanghai...
Economic growth in first-half suffered from lower expenditure
Government has been slow in rolling out capital projects
Tanzania’s focus on more efficient expenditure, while good in the long run...
Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva ametoa ushahidi mbele ya Jaji wa nchi hiyo anayeshughulika na masuala ya kupambana na rushwa katika kesi yake ya kwanza kati ya tano...
At least eight people were killed and more than 20 injured after a 5.5-magnitude earthquake struck Taxkorgan county in western China, the region's earthquake administration said.
The quake struck...
Watu husema hakuna kinachozidi upendo wa mama na wengi wao wamedhihirisha hilo kama ilivyokuwa kwa Seneta wa Australia, Larissa Waters ambaye aliamua kumnyonyesha mtoto wake wa miezi miwili akiwa...
Mahakama ya Juu zaidi nchini ndia imemhukumu jaji wa mahakama kuu ya Calcutta, kifungo cha miezi sita gerezani.
Jaji Chinnaswamy Swaminathan Karnan ndiye jaji wa kwanza wa mahakama kuu kufungwa...
Rais mpya wa Korea kusini Moon Jae-in amekula kiapo cha kuiongoza nchi hiyo kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi wa jana Jumanne.
Bwana Moon ambaye ni wakili na mtetezi wa haki za binadamu...
Habari ndiyo hiyo baada ya siku 100 madarakani pmj na negativity kibao ktk fake news media yenye lengo la kuchafua na mwishowe kumbomoa, sasa 96% ya waliompigia kura D.Trump watafanya hivyo tena...