Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,548
- 31,765
Wadau napenda kufahamu juu hasa ya nchi hii isiyo na makeke kabisa katika nyanja nilizotaja!
Hali ya maisha ya warusi ikoje, je kuna uhuru wa maoni, siasa zake zinaendeshwa vipi? Vipi hali ya maisha kiuchumi, burudani kama muziki, kandanda na movies hali ikoje? Kitechnolojia je wakoje hawa watu?
Mwisho taratibu za kuingia hii nchi zikoje? Viza inahitajika? Kama inahitajika vipi process zake ni ngumu kama za USA?