TB Joshua: North Korea possesses an unknown arrow that can surprise the world

tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
453
507
Talkin in his usual prophesying services in his church in Nigeria on 3rd Janb2017, TB Joshua warned that he saw a vision about a dangerous unkown arrow in the hands of NK Kim, that will be thrown to the world if a war errupt.

TB Joshua warned that people should seriously pray for peace of the world in this time because unexpected things and unprecented things could happen!

SOURCE: EMMANUEL TELEVISION
 
Hofu inataka wapi watu wadini.....!!!

Kifo kipo hakiepukike,watu wadini hawataki makazi mapya..? -"Kwetu pazuri nimepakumbuka"

Baadhi ya vitabu vya dini vinaeleza siku zitakuja "Taifa litanyenyuka kupigana na Taifa lingine,Njaaa na Matetemeko"

Kama vitabu mnaviamini hakuna hata haja ya kushituka kwani vinaeleza yajayo na yatatokea bila wasiwasi kabisa.

TB JOSHUA A man of God!!!!!!!!-Ondoa hofu
 
Watu wanadharau sana N.Korea ila kuna siri zitaoneshwa ambazo watu hawajawahi kuona ngoja muda ufike.

Hii siyo burudani ila dunia itateketea na Makombora
Mkuu, hawa pyong-yang wanajeuri na kiburi sana.

Wadadisi wanasema kuwa hawa watu wanajiandaa kufanya majaribio ya makombora kutoka bara moja na kwenda bara lingine kesho wakati wakimukumbuka kiongozi wao wakwanza Kim sung II-Miaka 105.
 
Kesho ni siku ya jua huko kwao ina mahusiano gani na kiongozi wao?

Ila kelele anazopigiwa na US ndizo zinampa kiburi kwa nini msitulie achokoze mtu ashambuliwe?
 
Hofu inataka wapi watu wadini.....!!!

Kifo kipo hakiepukike,watu wadini hawataki makazi mapya..? -"Kwetu pazuri nimepakumbuka"

Baadhi ya vitabu vya dini vinaeleza siku zitakuja "Taifa litanyenyuka kupigana na Taifa lingine,Njaaa na Matetemeko"

Kama vitabu mnaviamini hakuna hata haja ya kushituka kwani vinaeleza yajayo na yatatokea bila wasiwasi kabisa.

TB JOSHUA A man of God!!!!!!!!-Ondoa hofu
Mkuu hiyo ni kweli haya ni matukio yasiyoepukika kwa majira yetu haya, ila tunashuhudia kama watu wa nyakati hizi, wacha tuwe mashuhuda,
 
Nilichopenda ni juhudi yake ya kuhamisha watu Pyongyang,,,ningefurahi kama angefungua mpaka watu wawe huru kukimbia abakie na wanajeshi wake tu,,,maana ni kama ninaiona fate yake,,Atashuhudia majanga asiowahi kuyaona.Huyu tb joshua laiti Lowasa angemjua angeenda kwa Mwakasege tu angemtabiria ukweli.
 
Hapo sasa
b536c03bed90e70eddaf237b650665fe.jpg
 
Back
Top Bottom