Austarlia: Seneta anyonyesha mtoto Bungeni

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Watu husema hakuna kinachozidi upendo wa mama na wengi wao wamedhihirisha hilo kama ilivyokuwa kwa Seneta wa Australia, Larissa Waters ambaye aliamua kumnyonyesha mtoto wake wa miezi miwili akiwa bungeni........

d042a9f78a3310a1a9d48610cafefcba.jpg
4fcecb228eb52ab541b321790bbba314.jpg
493636370428f5c432ca1c38aae8d82c.jpg
 
Wazungu wanafanya kazi kweli kweli yaani kila anayeajiriwa anakuwa na kazi ya kufanya ndio maana seneta huyo akalazimika kwenda na mwanae kabisa.
 
Back
Top Bottom