Watetezi wa wapenzi wa jinsia moja wanaswa Urusi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wanaharakati watano watetezi wa haki za wapenzi wa jinsia moja wamekamatwa na kuziliwa mjini Moscow.

Walikamatwa walipokuwa wanaelekea kwa afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Urusi kuwasilisha malalamiko.

Polisi wamesema watano hao wamekamatwa kwa sababu shughuli hiyo yao haikuwa imeidhinishwa.

Walioakamtwa ni raia wanne wa Urusi na mmoja wa Italia.

Wanaharakati hao walisema watu zaidi ya milioni mbili walikuwa wametia saini ombi la kuitaka serikali ichunguze tuhuma za kuteswa na kuzuiliwa kwa wapenzi wa jinsia moja katika jimbo la Chechnya nchini Urusi.

Maafisa wa Chechnya wamekanusha madai kwamba hata kuna wapenzi wa jinsia moja nchini humo.

Wiki iliyopita, rais wa Urusi Vladimir Putin aliunga mkono uchunguzi kuhusu operesheni ya kuwasaka wapenzi wa jinsia moja Chechnya.

Mapema mwezi huu, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliihimiza Urusi kulinda haki za wapenzi wa jinsia mnamo.
 
safi sana nao waisome namba, waje na huku wawabebe akina james delicious
 
Sina mamlaka ya kumhukumu binadam ila hawa wapelekwe kwenye hifadhi za wanyama sima ndiyo wawahukumu kwa ushenzi wao
 
Safi sana watu tunataka kuongezeka duniani halafu mashetani wengine wanazuia eti haki za binadamu ndo nn hii!!???
 
Back
Top Bottom