Hahaha mkuu mbona umehofia!?(Hollywood) Movies.....
Huyo ni kweli, pale Johnson space centre (houston) wanaonyesha live kabisa, dakika 15 wanamaliza mzunguko wa Dunia.Kuna channel yao nyingine inaonesha ni usiku, sasa sijui ni kwa sababu ya cache.