International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajeshi wa Misri wametekeleza mashambulizi ya angani katika taifa jirani la Lybia ambapo wamelenga kambi za mazoezi za wapiganaji wa kijihadi. Maamlaka zinasema mashambulizi hayo karibu na mji...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani jamani Dunia imekwishaharibika wandugu 2nakoerekea aise Mungu anajua!!!!!! Madam amehinjwa kinyama na kuuawa kutoka kwa mufanyakazi wake wa ndani Raia wa ETHIOPIA .inadaiwa kuwa mfanyakaz...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
BRIA, Central African Republic (AP) — Scores of blackened homes dot this town where more than 41,000 people have fled for their lives. Deadly sectarian violence that has gripped Central African...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Muungana wa majeshi ya marekani yaliyopo Syria na Irag kwa pamoja wakiwa na ndege vita wamewaua viongozi watatu wa ISS kwa mabomu ya ndege. US Coalition Airstrikes Kill 3 Senior Islamic State...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Haki miliki ya pichaDUBAI MEDIA OFFICE Polisi nchini Dubai wamezindua afisa roboti ya kwanza itakayo piga doria katika majumba ya kibiashara na maeneo ya kivutio kwa watalii. Watu wataweza...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Raisi wa marekani Donard J Trump kesho anatarajia kuhudhuria kwa Mara ya kwanza mkutano wa G7, mda mfupi uliopita Donard ametoa hotuba fupi mbele ya viongozi wa NATO huko BRUSSELS.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heroes don't kill innocents, they save them - Donald Trump Kwa mara ya kwanza ndege imeruhusiwa kuruka kutoka Saudi Arabia ikaenda Israeli moja kwa moja. Hakuna kiongozi aliyewahi kutembelea...
14 Reactions
62 Replies
10K Views
kwa mtu anaetaka kufungua kampuni ya ujenzi na hana cheti pendekezi, anitafute kwa email wilsonkaisery@gmail.com na kwa simu namba 0679541348 tufanye mazungumzo ya kina.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Director wa Defense Interagency Agency (DIA) wa marekani ameeleza juu ya hofu yake kwa NK kama watashindwa wakagua na kuwasimamisha juu ya mpango wao wa kutengeneza ICBM na nuclear capacity kwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
UFILIPINO: Padre wa Kanisa Katoliki pamoja na waumini kadhaa wametekwa na kundi lenye uhusiano na Dola ya Kiislam(ISIS). Aidha mmoja wa maafisa wa Polisi amechinjwa. Rais Rodrogo Durtete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo North korea imedhaniwa kutuma chombo cha anga ambacho hakijafahamika hadi sasa, south korea imetumia mashine gun kushambulia chombo hicho kilichokuwa kimevuka mpaka wao, lakini hawajasema...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
During the May 10 meeting at the White House with Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov and Ambassador to the U.S. Sergey Kislyak, Trump began describing details about an Islamic State terror...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
President Donald Trump gave a new meaning to the phrase “America first” on Thursday. Duh! Huyo ndiye Donald Trump! In the midst of his first trip overseas as president, Trump raised some...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Haki miliki ya pichaTWITTER/@ROCKETLABUSA Image captionRoketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand Kampuni moja ya Marekani imerusha roketi kuenda anga za juu kutoka nchini New Zealand...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakati Salama Ali alipoanza kuchunguza kutoweka kwa ndugu zake wawili wadogo mwaka uliopita, aligundua jambo la kutamausha sana. Sio vijana wa kiume pekee waliofunzwa itikadi kali ambao walikuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tangu binadamu alipofanikiwa kuunda ndege na kupaa angani, wataalamu wamekuwa wakijitahidi kuunda ndege kubwa na kubwa zaidi. Wakati wa Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia, majaribio ya kwanza ya...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Rais wa Brazil Michel Temer amesema kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na kashfa ya malipo ya fedha nyingi kama yaliyochukuliwa kama rushwa. Katika mahojiano mafupi kwa njia ya Televisheni, Temer...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Brazil Michel Temer ameyasambaza majeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Brasilia, baada ya waandamanaji kuanza kulichoma moto jengo la serikali na kuharibu mengine. Maafisa wanasema hatua...
1 Reactions
1 Replies
969 Views
Kufuatia mlolongo wa mashambulio yatokanayo na ubaguzi wa rangi dhidi ya Wanafunzi wa Kiafrika nchini India, Jumuiya ya Wanafunzi wa Afrika(AASI) imetishia kuandika malalamiko rasmi kwenda Umoja...
8 Reactions
151 Replies
18K Views
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kujibu mashtaka yanayomkabili, tangu alipokamatwa mwezi Machi mwaka huu. Mwanasiasa huyo aliyeondolewa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…