Tetesi: Hatari ya North Korea

error term

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
388
623
Director wa Defense Interagency Agency (DIA) wa marekani ameeleza juu ya hofu yake kwa NK kama watashindwa wakagua na kuwasimamisha juu ya mpango wao wa kutengeneza ICBM na nuclear capacity kwa siku chache za usoni watakuwa ni hatari zaid na kapendekeza hatua zichukuliwe mapema. Pia inasemekana think tank wa NK inakadiriwa had kufika 2020 wataweza kurusha kombora litakalo fika kwenye aridhi ya marekani.

Maswali ya kujiuliza watatumia njia gan mzua mzee Kiduku
Maana njia ya kwanza ya aman ya vikwazo vya kiuchumi inaonekana kushindwa kwa miaka mingi

Chanzo Aljazira
DIA chief says if left unchecked, it's only a matter of time before Pyongyang can strike the US with a nuclear missile.

North Korea on 'inevitable' path to nuclear ICBM: US
 
Kama Russia ana tanks na anasita kustrike Washington, bas hizi ni sarakas za Pyongyang yaan mpaka wasubir wadevelop ndipo wastrike?
 
Marekani wana tumia nguvu nyingi kutuaminisha NK wanatishia amani ya ulimwengu.
Wenye akili we are not buying this crap.

Wanarekan mambo yao kweli kama unaakili na unafikiria vyakutosha uwezi wapenda.
Niwanyonyaji wakubwa wa dunia ya leo wanawanyonya hadi wazungu wezao.

(Wamerekan wamepunguza uzarishaji sana na daima kwenye biashara za kimataifa utaona wao wanadificit balance, lakin pesa yao bado ipo imarasa sana sababu kubwa ni moja
Dunia yote inafanya kazi kuijenga marekan.
Nitatoa mfano
Leo tanzania inafanya biashara na kwenya tutatumia dola, Africa inafanya biashara na china itatumia dollar, bado nchi za ulaya watatumia dollar japo wana Euro.
Hi inamaana kwabwa wao kazi yao ni kuprit pesa tuu na kusambaza dunian kwakununua bizaaa nje kwenye masoko ya mitaji capital market na masoko mengine.
Dunia ikija kustuka na kupata mbadala mfano kureplace dollar na euro wamarekan jeur yao inawaishia.
Marekan anaiitaji zaid dunia kuliko dunia inavyo muitaji yeye.
Ndio maana ukisia Iran wamemuwekea vikwazo na kuacha kutumia pesa yake jambo hilo likija ungwa mkono na taifa kama china dollar itapoteza nguvu sana na uwenda mambo kwao yakawa mabaya zaidi
 
Russia hana sababu ya kimsingi kufanya hivyo. Iwapo kutakuwepo na sababu ya msingi atafanya hivyo.
Ni ,nchi mbili tu duniani ambazo hazifanyi mbwembwe na show za kijeshi Israel aka Zionists na US ..hao wengine ni vimada tu mwanaume huwez kuonesha uzito wa ngumi yako utapigwa mchana kweupe
 
Ni ,nchi mbili tu duniani ambazo hazifanyi mbwembwe na show za kijeshi Israel aka Zionists na US ..hao wengine ni vimada tu mwanaume huwez kuonesha uzito wa ngumi yako utapigwa mchana kweupe
Kwani kufanya majaribio ya siraha ni kufanya mbwembwe?
 
USA ana njia 3 tu za kuwin juu ya threat za North Korea ambazo anatakiwa kutumia strategic moja kati ya 3 tu ambazo ni
1 THE AMBUSH
2 THE BLITZ
3 THE SIEGE
 
Dogo janja anacho kitafuta atakipata.


Mmarekani katu hawezi kupiga NK .

NK imepakana na china pamoja na Urusi .

China na Urusi katu hawawezi kuruhusu adui wao Marekani aidhibiti NK .

Marekani akiidhibiti NK ina maana atakuwa yuko karibu sana kufanya ayatakayo huko Urusi na China.
 
Kwani kufanya majaribio ya siraha ni kufanya mbwembwe?
Kwani kutengeneza silaha na kuisifia eti hii inaweza kufika texas,uk na france hii maana yake nin? Bila shaka ukiona mtu anakukandia jua anakuheshm ila anajikosha tuu...utumbo anaofanya NK ndo huo Moscow anafanya...Israel hafanyagi show lakn kilasiku Damascus wanalia hawa ndo wanaume
 
Kwani kutengeneza silaha na kuisifia eti hii inaweza kufika texas,uk na france hii maana yake nin? Bila shaka ukiona mtu anakukandia jua anakuheshm ila anajikosha tuu...utumbo anaofanya NK ndo huo Moscow anafanya...Israel hafanyagi show lakn kilasiku Damascus wanalia hawa ndo wanaume
Umelogwa wewe !!!
 
Back
Top Bottom