Mamlaka za Misri zimeanza kuwasaka vijana maarufu wa TikTok wenye mamilioni ya wafuasi, ambapo katika wiki za karibuni makumi yao wamekamatwa. Polisi wamesema wanafanya uchunguzi na baadhi ya...
Msemaji wa kundi la Hamas Abu Ubaida ameangamizwa Leo na jeshi la Israel tumuombee inshallah afike salama huko kuzimu anapoelekea Kwa sasa.
Heko IDF Kila gaidi aliyehusika na tukio la Oct 7...
Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote
Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji."...
Naangalia Al-Jazeera
Naona Kiongozi wa Waasi wa Hamas, Mohammed Sinwar ameliwa Kichwa na yeye ameshakutana na wale Mabikira 72
Ikumbukwe jana tu Msemaji wa Hamas naye amewahi kukutanishwa na...
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa...
dah jana sikuamini
mlivyoamua kushangiliq wamoroco
hivi mmelogwa
mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia
timu za wageni.........Wageningen..........
Nawaza.mmelogwa ama
Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake.
Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko...
Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu.
Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu...
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege...
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo...
Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo...
Kyiv imeshambuliwa usiku kucha na shambulio la anga la pili kwa ukubwa lililofanywa na Urusi tangu uvamizi wake kamili wa Ukraine, ambapo watu wasiopungua 23 wameuawa, wakiwemo watoto wanne, kwa...
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku...
Kama hakuna adui kutokea ndani hakuna kitakacho kutokea.
Check your inner circle.
Malizia na Bongo ?
Yes, malizia na Bongo!!
1.Amebakia Nani ?
2.Vipi nchini kwako hayajatokea haya ?
Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira
1. Italy
Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical...
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi...
Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya...
Wanaukumbi.
Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X...