Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Raia mmoja wa Brazil ambaye ni mchezaji kandanda wa timu ya chelsea ya England amerudishwa uingereza kutoka ziarani China baada ya mwanasoka huyo kuwaita wachina ' wapumbavu' Mbrazili huyo ametakiwa kujieleza kwa FA kutokana na matamshi yake hayo. Source BBC dira ya dunia!