Waliooa wake wengi kufungwa jela Canada

Waliooa wake wengi kufungwa jela Canada

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
7,408
Reaction score
8,225
upload_2017-7-26_0-22-4.jpeg

Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi.

Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni mkwe wake James Oler akaoa wanawake 5.

Wote walipatikana na hatia ya shtaka moja la kuwaoa wanawake wengi na kila mmoja anakabiliawa na kifungo cha miaka mitano jela.

Hukumu hiyo imetajwa kuwa mtihani mkubwa kwa uhuru wa kdini nchini Canada.

Blackmore na Oler ni kutokna jamii moja ya dini ya karibu watu 1500 ambayo ilianzishwa mwaka 1946.
upload_2017-7-26_0-21-21.jpeg

Image caption James Oler akifika kotini
Wote hao walikuwa ni makasisi wa dhehebu lililojitenga kutoka kanisa la Fundamentalist Church of Jesus Christ of Latter-Day Saints (FLDS)

Bwana Blackmore alifukuzwa kutoka FLDS mwaka 2002 na mahala pake pakachukuliwa na bwana Oler.

Matawi ya dhehebu hilo yako nchini Marekani ambapo kuna wanachama karibu 10,000

Kuoa wanawake wengi ni haramu chini ya sheria za Canada, Palisi nchini Canada walianza kuchun

guza dhehebuhilo mnamo miaka ya 1990.
'
Waliooa wake wengi kufungwa jela Canada - BBC Swahili
 
Na huku ikija sheria kuwa alietembea na wanawake wengi?
Watapona wachache sana

Waache wafungwe tu
 
wapi kuna kituko kimoja huku kilimpromise hawara wake ma-future
 
Back
Top Bottom