Central African Republic: UN peacekeeper killed in attack

Central African Republic: UN peacekeeper killed in attack

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
1602707.jpg
​

JAMHURI YA AFRIKA YA KATI: Askari wa kulinda amani(Kutoka Morocco) ameuawa na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya Wapiganaji wa Kikristu kufanya shambulizi katika msafara wao.

Wanajeshi hao walikuwa wakilinda msafara wa magari yaliyobeba maji, shambulio hilo limetokea kusini mwa nchi hiyo katika Mjini mashuhuli kwa uchimbaji wa Almasi wa Bangassou.

Hata hivyo Maafisa wa Chama cha Msalaba Mwekundu(RED CROSS) wamesema kuwa wameipata miili ya watu 115 katika mji huo baada ya shambulio hilo. Huku taarifa yao ikielezea kuwa watu hao walikuwa na majeraha ya risasi na wengine wakiwa na majeraha ya visu.


=====

Christian militia in the Central African Republic have attacked United Nations peacekeepers who were protecting a convoy of water trucks. One Moroccan UN soldier was killed and three others injured.

The attack took place in the southern diamond-mining town of Bangassou. Christian militia have been attempting to seize a cathedral housing hundreds of displaced Muslims, who have been sheltering in the compound since a wave of ethnic killings in May.

The Red Cross said it found 115 bodies in the town after those attacks, when the rival religious groups clashed.

"They died in various ways: from knives, from clubs and bullet wounds," a Red Cross representative told Reuters news agency at the time. The wider conflict has killed thousands of people.

It broke out when mainly Muslim Seleka rebels ousted President Francois Bozizefour years ago, provoking a backlash from the Christian militias.

Source: The Star
 
Back
Top Bottom