International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika mpango wakuwataka vijana kubuni ajira wenyewe bila kutegemea kuajiriwa, Shirika la Popoli Frateli katika mji wa Uvira mkoa wa Kivu ya Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Kwa kitendo cha kibri cha Rais wa Korea Kaskazini cha kutest hii leo Hydrogen Bomb ambalo lina nguvu kubwa zaidi ya Atomic Bomb anastahili adhabu kali kuliko zote zilizowahi kutolewa Duniani...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita Korea ya Kaskazini imekuwa ikifanya majaribio ya kurusha makombora ambayo inasemekana yanaweza kufika Marekani.Makombora hayo yanaweza kubeba nuklia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ZAMBIA YAPIGA MARUFUKU MAKANISA KUUZA MAFUTA YA UPAKO Serikali ya Zambia imeyataka makanisa nchini humo kuacha kuuza mafuta na maji ya upako, matendo ambayo yameenea katika baadhi ya makanisa...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Msichana mmoja wa miaka minne amefariki kutokana na malaria ya ubongo kaskazni mwa Italia, eneo ambalo halina ugonjwa huo katika kile ambacho madaktari wanasema ni kisa kisicho cha kawaida. Sofia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda wa Jeshi nchini Lesotho, Luteni Jenerali Khoantle Motsomotso ameuwawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wenzake, kwa mujibu wa maafisa kutoka nchini humo. Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Maafisa wa Polisi walioathiriwa na maradhi ya kipindupindu Nairobi imeongezeka huku jumla ikifikia maafisa 96. Waziri wa Afya Kaunti ya Nairobi, Dkt. Benard Muia alisema jana kuwa idadi hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
IMF 2019 GDP (nominal) forecast of the fifteen biggest African economies, all figures in billion US $ The forst figure is the 2014 value and the second is the 2019 value 1. NIGERIA...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
najaribu kuwaza... Vipi ikija kujulikana miaka ijayo kwamba hakuna chuki wala ugomvi kati ya watu,tawala na viongozi wa nchi hizo bali ni mbinu za kutengeneza hofu kwa dunia kwa faida wanazozijua...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Takribani watu Elfu sitini(60,000) wamelazimika kuyaacha makazi yao huko Frankfurt ili kuruhusu Jeshi la Ujerumani ku-defuse bomu lililokuwa halijalipuka toka Vita Kuu ya Pili ya Dunia liitwalo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi wa Rwanda wamesema kuwa wana familia watatu wa familia ya Rwigara waliokuwa wakishikiliwa kwa ajili ya kuhojiwa wameachiwa siku ya jumatatu usiku. Familia hiyo inahusishwa na makosa ya...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna habari hapa za UN naona kama marekani anataka mpiga korea, angalia BBC
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mi binafsi nadharau huo mfumo naona kama umepitwa na wakati na hauna mana. Pia naona kama dunia ya sasa haki ya kutawala haipaswi kutokana na kuzaliwa japo kiukweli hiyo familia haina nguvu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku ya tarehe 20 August south Korea na USA walianza kufanya mazoezi ya pamoja na kusema kweli mazoezi haya yalikuwa ni kama kumwaga petroli kwenye moto Mwaka Jana south na USA walivyofanya...
13 Reactions
91 Replies
13K Views
Mahakama kuu Kenya imeruhusu chama cha upinzani Kenya kuchunguza mfumo wa ICT wa IEBC jinsi illivyokuwa ikipokea matokeo. Hii ni pigo kubwa kwa Chama cha Jubilee. Uchakuaji kuwekwa hadharani kwani...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa ameilaumu Korea ya Kaskazini kwa kulazimisha vita kutokana na majaribio yake ya makombora ya mara kwa mara. Nikki Haley ametaka kuwepo kwa muda wa...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanaanga, Peggy Whiston amerejea duniani baada ya kuwa nje ya sayari hii kwa siku 228 kwa misheni 1 na 665 kwa jumla. Anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa nje ya dunia kwa muda mrefu na pia ameweka...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Siku ya 5 january 2016, North Korea walitangaza wamefanikiwa kujaribu bomu aina ya H-Bomb walilolitengeneza,.January Mwaka Jana North Korea waliweka headline kwa tukio hilo,inasemekana mnamo 5...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Urusi kwa mara nyingine ameonya huyu dogo asiguswe, na kwamba kumgusa itasababisha moto usiozimika. Tatizo ni kwamba huyo Kim anazidi kuchizi, yupo anabonyeza bonyeza tu, mizinga inapepea na...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom