Hivi waingereza wana maoni gani kuhusu mfumo wao wa kifalme?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Mi binafsi nadharau huo mfumo naona kama umepitwa na wakati na hauna mana. Pia naona kama dunia ya sasa haki ya kutawala haipaswi kutokana na kuzaliwa japo kiukweli hiyo familia haina nguvu kivile. Waingereza wenyewe wanaonaje, wanajivunia au ni kitu kinachowafedhehesha?
 
Wanaendeleza tamaduni zao, lakini sisi tumezitelekeza hakuna cha chief wala nini? Bado kuna nchi za ulaya zinaabuduh tamaduni zao kama Holland, lakini haziingiliani na mambo ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom