jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,127
- 1,635
Kwa kitendo cha kibri cha Rais wa Korea Kaskazini cha kutest hii leo Hydrogen Bomb ambalo lina nguvu kubwa zaidi ya Atomic Bomb anastahili adhabu kali kuliko zote zilizowahi kutolewa Duniani. Trump na jumuiya ya kimataifa wamemvumilia sana bwana mdogo Kim Jong Un lakini sasa kanyea mbeleko.
Enough is enough North Korea Must be punished Severely!!!! No matter what!!! Dunia nzima including Tz tutakuwa hatarini kwa sababu ya mpuuzi Kim!!! Tatizo la kuwapa madaraka makubwa vijana wa umri mdogo kama Kim Jong Un unajidhihirisha wazi;
Bwana Kim kakosa busara na adabu anastahili kuchapwa tu kwa gharama yoyote . Tusubili kauli ya Trump the World Chief of Defensive Forces. Bwana mdogo Kim achapwe hadi chumbani kwake anakolala.