Siwaungi Marekani kuhusu North Korea

Siwaungi Marekani kuhusu North Korea

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita Korea ya Kaskazini imekuwa ikifanya majaribio ya kurusha makombora ambayo inasemekana yanaweza kufika Marekani.Makombora hayo yanaweza kubeba nuklia. Jambo hili limezua tafrani na hofu kubwa huko Marekani, Marekani imekuja juu na kwa kupitia UN nchi hiyo imewekewa vikwazo vya uchumu. Wakati huo huo Marekani inatishia kuingia vitani dhidi ya N. Korea.

Wakati Marekani ikiishutumu N. Korea kwa vitendo vyake, yenyewe ndo imesheheni silaha kubwa za nuklia. Hapa ndo najiuliza kwa nini iwe sawa kwa USA na nchi nyinginezo kuwa na silaha hizo na nchi nyingine zisitakiwe kuwa na silaha hizo. Hapa ndo nawaunga mkono N. Korea. Wanakumbuka kile kilichowatokea Sadam Hussein na Ghadaffi. Endapo Iraq na Libya zingekuwa na silaha za nuklia, Marekani na washirika wake wasingethubutu kuvamia nchi hizo. Kwa mwenendo huu ni dhahiri kwamba Marekani itaishia kupiga kelele tu huko UNO lakini haiwezi kuwa na ujasiri wa kuivamia nchi hiyo. Marekani na nchi za magharibi ziache unafiki. Zijivue kwanza silaha za nuklia zilizo nazo kabla ya kuitaka N. Korea kuachana na silaha hizo.
 
Mkuu, wewe huwaungi mkono kama nani? mmarekani?, mswahili?, mchina...ama nani? sometimes tuwe fair na nafsi zetu...hakuna American or North Korean atakayekuja kusoma thread yako! stay blessed Nigger
 
Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita Korea ya Kaskazini imekuwa ikifanya majaribio ya kurusha makombora ambayo inasemekana yanaweza kufika Marekani.Makombora hayo yanaweza kubeba nuklia. Jambo hili limezua tafrani na hofu kubwa huko Marekani, Marekani imekuja juu na kwa kupitia UN nchi hiyo imewekewa vikwazo vya uchumu. Wakati huo huo Marekani inatishia kuingia vitani dhidi ya N. Korea.

Wakati Marekani ikiishutumu N. Korea kwa vitendo vyake, yenyewe ndo imesheheni silaha kubwa za nuklia. Hapa ndo najiuliza kwa nini iwe sawa kwa USA na nchi nyinginezo kuwa na silaha hizo na nchi nyingine zisitakiwe kuwa na silaha hizo. Hapa ndo nawaunga mkono N. Korea. Wanakumbuka kile kilichowatokea Sadam Hussein na Ghadaffi. Endapo Iraq na Libya zingekuwa na silaha za nuklia, Marekani na washirika wake wasingethubutu kuvamia nchi hizo. Kwa mwenendo huu ni dhahiri kwamba Marekani itaishia kupiga kelele tu huko UNO lakini haiwezi kuwa na ujasiri wa kuivamia nchi hiyo. Marekani na nchi za magharibi ziache unafiki. Zijivue kwanza silaha za nuklia zilizo nazo kabla ya kuitaka N. Korea kuachana na silaha hizo.
We nani?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono N korea sababu hana bifu na nchi yoyote ile ila huyu Gaidi wa dunia Usa ukimkatalia anachokitaka lazima uchezee za uso iwe moja kwa moja ama kwa ufadhili wa uasi na mapigano ya ndani kwa ndani
 
Back
Top Bottom