Nani Alihusika Na Maauaji Ya Aliyekuwa Rais wa Marekani John Kennedy 1963


Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,587
Likes
4,762
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,587 4,762 280
image-jpeg.619663
Tarehe 22 November 1963 ni siku aliyekuwa Rais wa Marekani wa 35 John F Kennedy aliuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas Texas Marekani. Rais Donald Trump amekubali ripoti ama mwenendo wa upelelezi wa mauaji ya kiongozi huyo aliyekuwa kijana sana kuchapishwa hadharani. Shirika la upelelezi la Marekani FBI na tume ya Warren Commssion zote zilitoa taarifa zao kuwa Oswald Lee ndio aliyekuwa muuaji pekee lakini kuna vikundi vingi vya haki za binadamu huko Marekani zinaamini njama ya kumuua Rais huyo ilipangwa na watu wasiojulikana. Aliyekuwa makamu wake L.Y. Johnson aliapishwa kuwa rais wa Marekani siku hiyo hiyo baada ya mauaji hayo mbele ya aliyekuwa mke wa Rais Kennedy Jaquelini Kennedy ndani ya ndege ya rais Air Force One.
Kwa taarifa zaidi ili kujua undani wa mauaji ya kiongozi huyo unaweza kutembelea website ya National Archives and Records Administration (NARA).
 
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
1,025
Likes
938
Points
280
D

dutch2

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
1,025 938 280
ukimpata aliyefanikisha uniambie Nina maongezi nae
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,971
Likes
2,225
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,971 2,225 280
Soma article nzima and then put your comments.
nilipoona heading tu hata sikujisumbua kusoma,sio mbaya,kama trump karidhia si muisubiri tu hiyo ripoti kuliko kulishana maneno humu?
 

Forum statistics

Threads 1,238,260
Members 475,878
Posts 29,313,917