5 Star Hotel Saudi Arabia Yatumika Kama Jela


Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,603
Likes
4,782
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,603 4,782 280
image-jpeg.627550
Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald Trump alipofikia wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni nchini humo. Watuhumiwa waliotiwa nguvuni ni pamoja Bilionea Maarufu Prince Alwaleed bin Taalal, wana wa wafalme, maofisa wakuu wa serikali na wafanyabiashara maarufu. Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema nchi hiyo imepoteza dola bilioni 100 kwa muda wa miaka kumi iliyopita kwa vitendo vya ufisadi. Saudi Arabia inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya bei ya mafuta kushuka kwa muda mrefu.
 

Attachments:

ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Messages
1,352
Likes
1,401
Points
280
ruralofficer

ruralofficer

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2014
1,352 1,401 280
Hiyo jela nimeipenda
 
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
6,433
Likes
7,769
Points
280
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
6,433 7,769 280
Awa wamepata tija kutoka kwa magufuli
 
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
1,804
Likes
1,789
Points
280
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
1,804 1,789 280
Bora kua mfungwa mbele na swimming pool juu
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
5,972
Likes
8,114
Points
280
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
5,972 8,114 280
Naomba niwe fisadi nikafungwe hapo
 
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
897
Likes
1,070
Points
180
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
897 1,070 180
Hapo watu woote wa tandale...buguruni....temeke...n.k wataomba kwenda front wakafungwe huko kma hali ni hio
 
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,224
Likes
941
Points
280
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,224 941 280
View attachment 627550 Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald Trump alipofikia wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni nchini humo. Watuhumiwa waliotiwa nguvuni ni pamoja Bilionea Maarufu Prince Alwaleed bin Taalal, wana wa wafalme, maofisa wakuu wa serikali na wafanyabiashara maarufu. Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo amesema nchi hiyo imepoteza dola bilioni 100 kwa muda wa miaka kumi iliyopita kwa vitendo vya ufisadi. Saudi Arabia inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi baada ya bei ya mafuta kushuka kwa muda mrefu.
Hata Mantiki ya Neno Jela haipo hapo. Nchi za Kiarabu bwana
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
2,816
Likes
6,064
Points
280
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
2,816 6,064 280
Kwa billionea hio ni jela..maana hana uhuru wa kutoka kufanya mambo anayoyataka..

Lakini ukinifungia mimi humo ukanipa PC yangu na wifi na msosi wa kutosha....mwaka mzima sitoki
 
mzado

mzado

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
911
Likes
1,156
Points
180
mzado

mzado

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
911 1,156 180
Hivi unategemea watoto wa wafalme watafungwa jela ya aina gani kama sio King size prison.
 
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Messages
2,604
Likes
5,925
Points
280
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2011
2,604 5,925 280
Wana jitu lao linaitwa Al Beshi, kazi yake kukata watu vichwa hadharani, sasa wewe ombea ukafungwe huko afu ukutwe na hatia.......hiyo nchi siipendi kama nini
 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
2,553
Likes
3,852
Points
280
Age
45
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
2,553 3,852 280
Hapa natafta njia ya kumtia dole TRUMPH tu niende huko
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,037
Likes
2,654
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,037 2,654 280
hawana jela au wamechagua hotel iwe jela kwa hao vibosile?
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
30,093
Likes
12,229
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
30,093 12,229 280
Huo ukoo itakuwa hawapendani,mtu anamfunga mjomba,binamu,ba mkubwa saa ingine hata kuuliwa,
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,138
Likes
3,194
Points
280
Age
31
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,138 3,194 280
Wana jitu lao linaitwa Al Beshi, kazi yake kukata watu vichwa hadharani, sasa wewe ombea ukafungwe huko afu ukutwe na hatia.......hiyo nchi siipendi kama nini
huipendi una yako tu..huenda kwa kuwa imeendelea kuliko kwenu mnakojifanya mmesoma elimu bora..na kukinzana na ule ujinga mnaolishana kwamba alipokaa Mwarabu maendeleo hakuna
 

Forum statistics

Threads 1,249,953
Members 481,167
Posts 29,715,746