ZIMBABWE: Watu wanne watupwa mbaroni kwa kumzomea mke wa Rais


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita.

Gazeti linalomilikiwa na Serikali la The Herald limeripoti kwamba watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kupuuza mamlaka ya rais.

Kuzomea huko kuliibuka kati ya makundi mawili ndani ya chama tawala cha Zanu-PF yanayopambana juu na nani atakuwa mrithi wa rais Robert Mugabe ambapo kuna kundi linalimuunga mkono mke wa rais Grace Mugabe na lile linalomuunga mkono Makamu wa rais aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa.

Imedaiwa kwamba watu hao waliokamatwa ni wafuasi wa aliyekuwa Makamu wa Rais

Watu hao walikamatwa mara baada ya mkutano huo uliofanyika mjini Bulawayo,watuhumiwa hao inasemekana ni aliyefukuzwa Emmerson Mnangagwa .

Watuhumiwa hao waliokatwa ni wanaume watatu na mwanamke mmoja wako nje kwa dhamana.

Chanzo: EATV
 
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
1,220
Likes
1,104
Points
280
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
1,220 1,104 280
Kama tz tu....
 
NDULUMESO

NDULUMESO

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
230
Likes
169
Points
60
NDULUMESO

NDULUMESO

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2013
230 169 60
Yaan dictatorship ya uongozi wa Africa naona no sawa tuu
 
Alisina

Alisina

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,278
Likes
3,190
Points
280
Alisina

Alisina

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,278 3,190 280
Nchi wanaifanya kama familia Yao..Mugabe family.


Ewe Mugabe usiye na haya,usiye na roho ya huruma,uliye na kiburi..unayelitia aibu na umasikini Taifa la Zimbabwe..NINANI ALIYEKUROGA.????

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,235,128
Members 474,351
Posts 29,212,700