Somaliland Kutumia Technology ya Iris Scan Software (alama ya jicho)Kwenye Uchaguzi Mkuu

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Somaliland ni nchi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia mwaka 1991. Nchi hii ndogo toka ipate uhuru marais wanne wameshatawala kwa njia ya kidemokrasia.
Kwa mara ya kwanza Duniani wapiga kura watatambuliwa kupiga kura kwa alama ya Jicho badala ya kidole mfumo huu unatambulika kwa Iris Scan Software. Mfumo huu Technology mpya kabisa duniani ambayo ni vigumu kuiba kura. European Union ndio imefadhili gharama ya uchaguzi huu. Kuna wagombea urais kutoka vyama vitatu vya kisiasa, Rais wa sasa Mohamud Silanyo amemaliza muda wake wa mihula miwili.
Somaliland itakuwa nchi ya kwanza duniani kutumia mfumo huu mpya zaidi ya watu 30000 waligundulika walitaka kujiandikisha kupiga kura zaidi ya mara mbili.
.
 
Back
Top Bottom