International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Trump Administration Proposes More Changes to H-1B Visa Program They’re part of the ‘Buy American, Hire American’ strategy By MONICA ROZENFELD 18 January 2018 Photo: iStockphoto For IEEE...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nampongeza trump kwa kutuambia ukweli sisi mijitu mieusi,kama rangi zetu zilivyo,ndivyo mioyo yetu ilivyo,ni watu waajabu sana,tunaroho mbaya sana,tunapenda sifa sana ngono ndo kabisa utafikiri...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Taarifa ya habari ITV. DRC Congo. Taarifa hiyo inasema polisi walifika na kuzingira kanisa Katoliki wakati misa ikiendelea, baadaye walirusha bomu ndani ya kanisa, waumini watano wamefariki na...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Kabila MUST GO! EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC. Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania. Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wachina wadhihirisha ufanisi kwenye utendaji, baada ya wafanyi kazi 1,500 kujenga reli ndani ya masaa tisa na ikawa tayari kwa matumizi. Afrika tuna mengi ya kujifunza, sio kulialia kila siku...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtaalamu wa anga za juu nchini Marekani Jeanette Epps ameondolewa kutoka kwenye safari inayotarajiwa hivi karibuni ya kwenda Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) miezi michache kabla ya...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Muda huu makamu wa Rais wa Marekani yupo ndani ya bunge la Israel baada ya kutembelea jordan, pence anasema msimamo wa kuamishia ubalozi wao jelusalem uko palepale na maandalizi yataanza muda si...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Anatoa tafakuri ya 'shit-hole countries' akitumia Nchi yake ya Nigeria (anayoitambua zaidi) kama mfano. Kijana huyo asema Nigeria ni nchi iliyo na taratibu za hovyo (shit-hole country). Na ataja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Limeidhinisha matumizi ya muda kufadhili shughuli za serikali katika kumaliza mjadala uliozua sitofahamu kwa siku tatu. Muswada huo, ulioidhinishwa na idadi kubwa ya maseneta, utasaidia kufadhili...
2 Reactions
0 Replies
648 Views
Najua wengi huenda watanipinga lakini ukweli ni kwamba endapo chadema watashiriki uchaguzi wa kinondoni na siha basi jumuiya za kimataifa huenda wakashangaa kusikia chadema akishiriki uchaguzi wa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais Kabila ameingia kwenye mgogoro na Kanisa Katoliki baada ya kuvunja makubaliano ya kutoongeza muhula mwingine kama katiba inavyosema. Kanisa Katoliki liliamua kuitisha maandamano ya amani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Senate Republicans and Democrats reach deal, vote to temporarily end government shutdown
1 Reactions
1 Replies
634 Views
US government goes into shutdown after Senate rejects funding bill The United States has its first government shutdown in nearly five years after senators failed to reach a deal to keep the...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa. Ktk ripoti za BBC Leo ni kuwa maaskofu wa kanisa katoliki wamewaasa wakiristu wote waingie mitaani kuandamana Mara tu baada ya ibada ya jumapili. Kila mkiristu ameambiwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ghasia zilizozuka katika Kanisa moja huko Kaunti ya Nyandarua zasababisha Watu 5 kufariki Dunia na wengine kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi Ghasia hizo zimesababishwa na Waumini wanaomuunga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na kuzidi kupanda kwa gharama za maisha na hasa kodi na bei za nyumba watu wengi wamejikuta kukosa sehemu maalumu za kuishi. Pia state hiyo ina sheria zinazowalinda watu hao hivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huku Bujumbura, Burundi mtu mmoja amefariki hapo hapo baada pikipiki mbili kugongana. Mashuhuda wamesema kuwa , kulikuwa na pikipiki mbili. Moja ndio ilikuwa inatumika kwa Wizi na ndio mmoja wao...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimetangaza kuwafukuza ubunge wabunge wake 11 ambao ni washirika wa rais wa zamani Robert Mugabe. Haya yanajiri wakati Rais Emmerson Mnangagwa akiendelea...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah,ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa,mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah,ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa,mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo inajiandika...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Back
Top Bottom