Nubian Ancient
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 958
- 1,183
Huku Bujumbura, Burundi mtu mmoja amefariki hapo hapo baada pikipiki mbili kugongana. Mashuhuda wamesema kuwa , kulikuwa na pikipiki mbili. Moja ndio ilikuwa inatumika kwa Wizi na ndio mmoja wao aliyekufa na mwingine Mahututi. Na pikipiki nyingene ilikuwa ni mtu binafsi ambaye pia ameumia vibaya sana.
[emoji117]Wezi hao ilifahamika walikuwa awapo kwenye harakati ya kukimbia baada ya kumpora Simu mpita njia. Wezi wenyewe ni Mwenye nguo Za bruu ndiye aliyefariki hapo hapo na mwenzie mwenye T-shirt Nyeupe na Jinsi nyeusi.
Samahani kwa picha huenda zikawa mbaya.