Kwanini Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) isiingilie kati mgogoro wa DRC?

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Kabila MUST GO!
EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC.
Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania.
Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!
 
Rejea kisa cha musa misri. Alipomuhoji yule mtu aloua na jibu musa alopata
 
Kabila MUST GO!
EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC.
Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania.
Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!
Bila kuwa na intellijensia bora,tutazidi kupoteza rasilimali kibao katika hii vita,Mashirika ya ujasusi,ya America,Ufaransa,Ubeligiji,yanatuhujumu sana katika hii vita,kwa America,vita kama hivi ni mtaji,na biashara nono,na ni justification nzuri,ya kuendelea kuweka vikosi vyake kila pembe ya dunia,madini adimu,yanaibiwa,biashara ya silaha,inaboreka.
Ufumbuzi pekee hapa,tuunde private military organisation,watu ambao wanauzoefu na vita,vilevile,ni wanajeshi wastaafu,hawa wwnakwenda kama private contractor,kwa ufupi tunaweka war contractor,ambae anapigana,kwa ajiri ya fedha tu,
Tuwaige kaka zetu,USA,wanawatumia sana hawa jamaa,kampuni kama blackwater,wanapewa tenda kibao za kupambana na magaidi,huko Afghanistan,Iraq,
Gharama ya kutuma private military ni ndogo,ukilinganisha na kutuma vikosi vya nchi,
Ukitaka kupambana na majambazi,fikiri kama jambazi,
 
Hizo nazo zina hatari.
Marekani wanafanya hivyo kwa sababu serikali inaweza kuidhibiti private sector. Sisi je? Akija tokea mtu mwenye agenda zake?
 
Kabila MUST GO!
EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC.
Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania.
Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!

mtu km wewe unaanzisha uzi km huu.. jamii forum imevamiwa.
 
CONGO DRC iko SADC na siyo EAC.

Hatahivyo the giant and powerful state(TANZANIA) in EAC iko kwenye uhusiano mzuri na maadui wa Congo DRC, Kwahiyo hatuwezi kuingilia kati manufaa ya marafiki wetu, yaani RWANDA na UGANDA,

Huenda Kenya angeweza lakini kwa sasa ana changamoto ya ALSHABAB, hataweza kuongeza adui mwingine aitwaye M23(RWANDA na UGANDA).

AU nayo kuna uwezekano mdogo wa kuingilia kati suala hili maana mwenyekiti wake mpya ajaye anatoka RWANDA(mulemule), DRC CONGO ni wa kuhurumia.
 
Kabila MUST GO!
EAC iwasaidie ndugu zetu wa Congo na ikiwezekana baada ya hapo Congo iingie EAC.
Nikisema EAC namaanisha Kenya na Tanzania.
Museveni, Kagame, Nkurunziza na Salva Kiir wote ni majipu!
Wewe mTz na madudu haya tunayowafanyia wananchi, tuna ujasiri gani ya kuwaeleza wa Congo namna gani wajitawale?!!!!!
Hata maandiko matakatifu yanasema, ondoa kwanza boriti katika jicho lako kabla ya kusema kibanzi ktk jicho la mwenzio. Tanzania hata katiba ya wananchi hatuitaki!! Tanzania inayotumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani wa ndani, Tanzania isiyotaka tume huru ya uchaguzi!!! Tanzania iliyorithi sheria za kikoloni na inazitumia tumfundishe nini Kabila labda unafki.

East Africa community (EAC) unayoizungumzia inatawaliwa na ma dictator wote. Nani kati yao anajua utawala wa ki democracy?! Hakuna. Bora ECOWAS ya Africa magharibi. Siyo hii changa la macho iliyoishindwa Sudan kusini na hata Burundi!!!
 
Uliangalia taarifa ya habari jana usiku? Hatujafila level ya kutupa mabomu kanisani!
 
CONGO DRC iko SADC na siyo EAC.

Hatahivyo the giant and powerful state(TANZANIA) in EAC iko kwenye uhusiano mzuri na maadui wa Congo DRC, Kwahiyo hatuwezi kuingilia kati manufaa ya marafiki wetu, yaani RWANDA na UGANDA,

Huenda Kenya angeweza lakini kwa sasa ana changamoto ya ALSHABAB, hataweza kuongeza adui mwingine aitwaye M23(RWANDA na UGANDA).

AU nayo kuna uwezekano mdogo wa kuingilia kati suala hili maana mwenyekiti wake mpya ajaye anatoka RWANDA(mulemule), DRC CONGO ni wa kuhurumia.
Hapa kuna high level power play. Tukiwasaidia wao uwezekano wa Congo DRC kuingia EAC utaongezeka maradufu. Ile ni sphere of influence ya Tanzania watatusaidia kwenye maamuzi ya EAC kupiga kura nasi kama Burundi wanavyofanya saiv. Wanasubiri kuona TZ amefanyaje then wao wanafuata tulivofanya sisi.
 
Mkuu [HASHTAG]#Cicero[/HASHTAG] unachosema kuhusu high sphere level ni sawa lakini je unafikiri kwa Urafiki uliopo kati ya Tz, Rwanda na Uganda, kuna lolote Tanzania inaweza wasaidia wakongo ilhali waasi wa M23 wanaivuruga Congo kwa manufaa ya Rwanda, Uganda na wakubwa wengineo.

Tanzania ya sasa itakubali kuanzisha uadui na swahiba wake Rwanda na Uganda kwa kusaidia wakongo?
 
CONGO DRC iko SADC na siyo EAC.

Hatahivyo the giant and powerful state(TANZANIA) in EAC iko kwenye uhusiano mzuri na maadui wa Congo DRC, Kwahiyo hatuwezi kuingilia kati manufaa ya marafiki wetu, yaani RWANDA na UGANDA,

Huenda Kenya angeweza lakini kwa sasa ana changamoto ya ALSHABAB, hataweza kuongeza adui mwingine aitwaye M23(RWANDA na UGANDA).

AU nayo kuna uwezekano mdogo wa kuingilia kati suala hili maana mwenyekiti wake mpya ajaye anatoka RWANDA(mulemule), DRC CONGO ni wa kuhurumia.

Ina maana Welfare ya wa Congo sasa iko mikononi ya 'adui' (Rwanda&Uganda?!)

Can't do anything about it, and there seem to be no light at the End of the Tunnel.
So sad.
 
Bila kuwa na intellijensia bora,tutazidi kupoteza rasilimali kibao katika hii vita,Mashirika ya ujasusi,ya America,Ufaransa,Ubeligiji,yanatuhujumu sana katika hii vita,kwa America,vita kama hivi ni mtaji,na biashara nono,na ni justification nzuri,ya kuendelea kuweka vikosi vyake kila pembe ya dunia,madini adimu,yanaibiwa,biashara ya silaha,inaboreka.
Ufumbuzi pekee hapa,tuunde private military organisation,watu ambao wanauzoefu na vita,vilevile,ni wanajeshi wastaafu,hawa wwnakwenda kama private contractor,kwa ufupi tunaweka war contractor,ambae anapigana,kwa ajiri ya fedha tu,
Tuwaige kaka zetu,USA,wanawatumia sana hawa jamaa,kampuni kama blackwater,wanapewa tenda kibao za kupambana na magaidi,huko Afghanistan,Iraq,
Gharama ya kutuma private military ni ndogo,ukilinganisha na kutuma vikosi vya nchi,
Ukitaka kupambana na majambazi,fikiri kama jambazi,
Basi ile m23 ya PK inaweza kua ni private military tukawa hatujui mkuu?
 
Back
Top Bottom