Wachina 1,500 wajenga reli ndani ya masaa tisa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Wachina wadhihirisha ufanisi kwenye utendaji, baada ya wafanyi kazi 1,500 kujenga reli ndani ya masaa tisa na ikawa tayari kwa matumizi. Afrika tuna mengi ya kujifunza, sio kulialia kila siku, inabidi tujifunze kuwa na bidii na umakini, na ufanisi, na utumiaji wa akili, ukianza kitu hakikisha unakimaliza tena kwa weledi na ujuzi.

Tatizo tunapenda dezo dezo...

--------------------------------------------------------------
  • The workers connected three railroads into one new railway in Longyan, China
  • They also installed traffic lights and a series of traffic monitoring equipment
  • Seven trains and 23 diggers were used to assist the massive project last Friday

Chinese workers have demonstrated their incredible efficiency yet again.

Around 1,500 workers spent just nine hours paving the railway for a new train station in Fujian Province, southern China.

Seven trains and 23 diggers were used to assist the massive project, according to a supervisor.

4871C12200000578-5297201-image-a-1_1516617786561.jpg

An aerial video released by Pear shows how the construction workers connected three major railroads - the Ganlong Railway, Ganruilong Railway and Zhanglong Railway - with the new Nanlong Railway.

They also installed the traffic signals and a series of traffic monitoring equipment.

The construction took place at the Nanlong Railway Station in the city of Longyan according Xinhua News Agency.

It began on January 19 and finished in the wee hours of January 20, said the report.

Read more: Chinese workers build railway in nine hours | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Kila siku ajari za madaraja na majengo yanayojengwa haziishi kwao.
 
Inaumbali gani?? Anway Sio kila kitu ushindanishe na Tanzania, nchi gani nyingine hapa Africa ilifanya haya?? Hata south Africa hawajawahi Fanya muujiza huo
 
Kila la Kheri wachina lkn unakumbuka na hiyo ya kwenu wameitengeneza kwa masaa mengi Leo ukiwa ndani ya treni unahofu hata kulala mahandaki kila sehemu.
 
Wewe umeamka au bado una maruerue, wapi Tanzania imetajwa hapo....
 
Seven trains and 23 diggers were used to assist the project,Sasa sisi hizo treni saba za kusaidia hiyo project tutazitoa wapi?Acha hayo machimba chimba.
 
Sisi tumekomaa kubadili katiba tuendelee kubaki madarakani; wengine muda wao wa kutawala kikatiba ulishaisha lakini bado wako ikulu wakiambiwa waitishe uchaguzi wanakimbilia kumiminia waumini risasi kwenye ibada zao; wengine wamekaa madarakani kiasi kwamba sura zimebadilika kuwa kama chipa lakini bado wanang'ang'ania kuwapa mahawara zao nchi hadi watolewe na majeshi. Duh! Afrika hiyo; hakuna jipya na hatutapiga hatua hadi watawala walafi wa madaraka watakapoondolewa.
 
Kila la Kheri wachina lkn unakumbuka na hiyo ya kwenu wameitengeneza kwa masaa mengi Leo ukiwa ndani ya treni unahofu hata kulala mahandaki kila sehemu.
Ujinga wetu! Yaani wawatengenezee na maintenance waendelee kutufanyia? Vichwa vya nazi!
 
Kila siku ajari za madaraja na majengo yanayojengwa haziishi kwao.
Ni kweli majanga mengi kuanzia migodini, majengo, madaraja, n.k. yametokea China lakini kama taifa China iko wapi leo? Extremely far away kuliko sisi tusiowahi kukumbwa janga tangu kuumbwa kwa ulimwengu!

Yafaa wachache waumie kwa ajili ya taifa kuliko taifa zima kubaki katika umasikini uliotopea ambo kimsingi ni zaidi ya majanga. Janga kuu linaloikabili Afrika ni poverty hususan umasikini wa elimu; sio elimu ya kutafutia kazi, bali ya kupambana na mazingira.
 
Back
Top Bottom