Hotuba inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, D.Trump ataihutubia Dunia muda siyo mrefu kama nusu saa hivi kuanzia sasa, karibu umsikilize the best President ever, kwa maoni yangu!
D.Trump na...
Daktari wa timu ya sarakasi Marekani, Larry Nassar ameangushiwa mvua ya miaka 175 jela kupakana na hatia ya unyanyasi wa kingono kutokana na kashfa mbalimbali zilikuwa zikimkabili.Daktari huyo...
Magari ya Mercedes Benz E-Class sasa kuundwa nchini Iran
Shirika la Mercedes-Benz la Ujerumani litaanza tena kutengeneza magari yake nchini Iran kuanzia mwaka mpya wa Kiirani utakaoanza Machi 21...
Huwa najiuliza kwanini Middle East migogoro haiishi licha ya juhudi zinazochukuliwa za kuleta Amani eneo hilo.Je inaweza kuwa ndio eneo ambalo lina siri kubwa kwa ustawi wa mataifa yenye nguvu...
Zaidi ya watu 30 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali moja nchini Korea Kusini. Hata hivyo maofisa wanasema idadi ya waliokufa huenda ikaongezeka...
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali maneno ya matusi ambayo Rais Donald Trump wa Marekani aliyatumia dhidi ya mataifa ya Afrika.
Katika mkutano wake na Spika wa...
Recently there have been many videos in United States about video game named „VRChat". In these videos, jokes about character named „Ugandan Knuckles" are made frequently. I have some of these...
Gazeti la The Sun la uingereza limepanga kuchukua hatua za kisheria kuitaka bodi ya palore ieleze ukweli kwanini imeamua kumuachia huru mbakaji John Worboys. Maelezo zaidi tembelea The Sun...
Weah alishinda kinyang’anyiro cha urais kuwa mrithi wa Sirleaf baada ya kumshinda mgombea wa chama tawala Joseph Boakai katika raundi zote mbili. Kwanza aliongoza kwa asilimia 38 akifuatiwa na...
Ndugu, Jamaa na Rafiki kwenye uzi huu funguka kwa namna zote uwezavyo, dondosha mawazo yako yote, fungua akili na ufahamu wako wote ili kila mtu anayejua ajue asichojua.
MADA KUU :
Vita kuu ya...
Hamjambo wadau,
Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, je atumie hizi taasisi zinazojishughulisha kusafirisha wanafunzi nje kama vile The Global Link au aende yeye kama yeye? I mean...
Serikali ya Kansela Angela Merkel imeidhinisha zaidi ya mauzo ya silaha yenye thamani ya euro bilioni 25.1 sawa na dola za Kimarekani bilioni 30.9 tangu kuingia madarakani...
Mwandishi maarufu Marekani Michael Wollf's ametoa kitabu kinaonyesha udhaifu mkubwa wa Rais Donald Trump wa Marekani kipindi cha mwaka mmoja wa urais wake. Mwandishi huyo amefanya mahojiano na...
DRC bado hakuko shwari, nchi iko kwenye vita. Rais Kabila anaelekea kufanikiwa kuwafyeka wavamizi wa nchi ambao kimsingi ni majirani zake wanaopora ardhi na mali za Congo. Maandamano na kelele...
Mwishoni mwa mwa mwaka 2017 ulimwengu ulipata mshtuko baada ya waandishi wa BBC kutoa video inayoonesha waafrika wanachofanyiwa Libya.. Ukiachana na mateso na ukatili usio na mipaka pia walikuwa...
Takriban watu 27 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa karibu na msikiti mmoja katika mji wa Benghaz nchini Libya utokana na shambulio la kigaidi.Washambuliaji walitumia gari lenye vilipuzi...
Ubalozi wa Marekani utafunguliwa mjini Jerusalem kabla ya mwisho wa mwaka 2019, makamu rais Mike Pence amesema.
Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amesema Jumatatu kwamba Marekani itauhamisha...
Umoja wa Afrika umemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump kufika katika kikao cha umoja huo kitakachofanyika nchini Ethiopia mwezi huu kutokana na matamshi ya kibaguzi anayodaiwa kuyatoa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.