Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaomtaka rais Joseph Kabila aondoke madarakani.
Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine...
Mchezaji bora wa zamani wa dunia, George Weah leo Jumatatu Janauri 22, 2018 ataapishwa kuwa Rais wa 25 wa Liberia akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Ellen Johnson Sirleaf ambaye ameongoza...
Mashirika ya kibinadamu ya umoja wa mataifa yanahitaji msaada wa dola bilioni 1,68 kwa ajili ya misaada ya kiutu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambako watu zaidi ya milioni 13 wanahitaji...
Waziri mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern amefichua kwamba yeye ni mjamzito.
Bi Ardern alisema kwamba yeye na mpenzi wake Clarker Gayford walikuwa wakitarajia mwana wao mwezi Juni ambapo baadaye...
Report: Israel attacked Hezbollah weapons warehouse at military airport near Damascus
Syrian opposition sources claimed on Wednesday that Israel struck a weapons warehouse near Damascus at a...
Mashirika ya kibinadamu ya umoja wa mataifa yanahitaji msaada wa dola bilioni 1,68 kwa ajili ya misaada ya kiutu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambako watu zaidi ya milioni 13 wanahitaji...
Takribani ya Wakurdi 25 - 35 milioni wanaishi katika milima ianayopatikana katika mipaka ya nchi tano :- Uturuki, Siria, Iraki, Irani na Armenia. Wakurdi ni jamii ya nne kwa ukubwa katika eneo la...
Most of the propaganda launched by the ex President of Tanzania, Julius Kambarage Nyerere against the ex President of Uganda, Field Marshal Idd Amin Dada, were baseless. However Nyerere,s tactics...
Islamic State haipo kuanzisha Islamic State bali Kurdish State, The Kurdstan.
Mtu atajiuliza iweje majeshi ya serikali huko Mashariki ya kati yashindwe kupambana na IS lakini wanamgambo...
Mzuqa wajamvi!
Hii Ni desturi ya kiranja wa dunia rais wa marekan kuhutubia tarehe 20 january ya kila mwaka ispokua anapoaapishwa. Inajulikana Kama state of the union.
Kunakuwa Na mbwembwe Sana...
Habari kutoka Kabul zinaeleza kuwa Hoteli ya Intercontinental Mjini Kabul yavamiwa na magaidi.
Yamkini watu 20 wanahofiwa kuwawa baada ya hoteli maarufu ya Intercontinental mjini Kabul...
Rubani aliyedaiwa amelewa alilazimishwa kutoka ndege katika uwanja wa Gatwick baada ya abiria kuwa na hofu.
Ndege hiyo ya Uingereza iliokuwa ikieekea Mauritius siku ya Alahamisi ilicheleweshwa...
His Excellence, President for Life, Field Marshal Al Hadji, Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conquer of the British Empire in...
Video inapatikana katika page ya Facebook ya Julius Mtatiro na inamuonyesha Paul Kagame akihutubia huku akisononeshwa na Wale wanaotaka katiba ibadilishwe aongoze ili kumuongezea miaka ya kukaa...
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa
Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa...
Wawekezaji wa kampuni ya ku assemble magari aina au jamii ya Volkswagen nchini Rwanda kupitia taarifa ya habari (Rwanda TV 23. 00pm) wataanza kuuza magari hayo kabla ya mwisho wa mwaka 2018. hii...
Jeneral John Tshibangu ameasi/amejiuzulu jeshi na kumpa Rais Joseph Kabila siku 45 awe ameachia madaraka na kuomba wananchi msamaha kwa kushindwa kuwaongoza
Hata hivyo bado haijafamika Jenerali...
Habari JF,
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May achagua waziri wa kwanza wa Uingereza kusimamia upweke miongoni mwa wananchi.
Tafiti kuonyesha kwamba watu milioni 9 nchini humo wanakabiliwa...
Wadau wa JF
Viongozi walikutana jana Jumatatu na kutoa jawabu kwa hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Ingawa hatua ya PLO inaweza kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.