"Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!"
— Donald Trump
Hivi karibuni Trump aliongeza...
Najua kuwa manazi wengi wanaoshangilia uhayawani na ukatili vinavyoendelea mashariki ya kati. Jana, Netanyahu aiishambulia Qatar, kikaragosi kama yeye cha Marekani.
Leo, imeshambulia Yemen...
Si mara ya kwanza kwa raisi wa msumbiji kukimbilia kigali kupewa back up dhidi ya matishio yanayo jitokeza sehemu mbalimbali mwa miji ya msumbiji hasa capo Delgado.
Mara ya kwanza alitoka askari...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao
Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na...
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013
Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina...
Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe
Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya...
Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu
Sifa za cell za Cancer
Kila cell...
Unaweza kujiuliza Uingereza ipo wapi na inafanya nini, katika huu mgogoro mkubwa wa dunia, mwisho wa siku ukagundua kwamba “power” ya Uingereza ipo Google na magazetini.
Wakati Juha anaivamia...
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:
Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la...
Israel imetekeleza mashambulizi ya anga katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari vinavyohusishwa na waasi wa Houthi.
“Uvamizi wa Israeli katika mji mkuu...
Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha...
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo (76), ameonekana katika orodha ya Wagombea watano walioidhinishwa rasmi kugombea katika Uchaguzi wa Rais mwezi ujao.
Atakabiliana na Rais...
Waandamanaji kuvamia na kuchoma jengo la bunge jijini Kathmandu. Vijana wengi wamejitokeza mitaani wakisukumwa na hasira dhidi ya ufisadi na kile wanachokiita “nepo kids” watoto wa wakubwa...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemteua waziri wa ulinzi, Sébastien Lecornu, kuwa Waziri Mkuu mpya, akimkabidhi jukumu gumu la kutafuta muafaka katika bunge lililogawanyika na kusimamia...
Rekodi ya Shirika la Afya duniani (WHO) inaeleza kuwa, kila mwaka watu wapatao 727,000 hupoteza maisha kwa kujiua, na idadi kubwa zaidi hujaribu kujiua lakini hunusurika. Kila tukio la kujiua ni...
Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha.
Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya...
Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko...
Wanaendelea Kubweka. ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE. ANAKUPIGIA POPOTE ANAPOTAKA. WAULIZENI IRAN WANAELEWA HILI JAMBO.
Wizara ya mambo ya nje ya Yemen imesema kuwa shambulio la Israel “linadhoofisha...
Waziri Mkuu wa Nepal, K.P. Sharma Oli, amejiuzulu kufuatia maandamano dhidi ya ufisadi ambayo yalisababisha vifo vya watu 19. Waandamanaji waliamua kutoka mitaani wakivunja amri ya kutotoka nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.