International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Tukiwaambiaga Wairan sio waarabu muwe mnaelewa!! Iran walimjibu Israel wenyewe bila back up yoyote Even Russia hakumsapoti Iran!! Iran walijibu vilivyo Eti waarab eti mpaka waungane ndo wamjibu...
10 Reactions
17 Replies
876 Views
Kuna kila dalili kuwa migawanyiko, undumila kiwili, unafiki, na woga wa waarabu utawatokea puani. Yenyewe yamekaa na kuangalia kana kwamba hayawahusu. Na waafrika tujuandae. Huu waweza kuwa...
1 Reactions
6 Replies
437 Views
Sababu za Maandamano Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa...
1 Reactions
5 Replies
509 Views
Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi Mtuhumiwa wa mauaji...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Tyler Robinson, muuaji wa Charlie Kirk, alikulia familia ya Republicans wakiwa wakristo kwa dini, Picha zake nyingi za zamani zilimuonesha katika misimamo hio Alipoenda chuoni alibadili mtazamo...
3 Reactions
10 Replies
680 Views
Hii ndio Gaza ilivyo sasa, matokeo ya kulazimisha vita ambayo hawawezi kushinda, hamas kuji-mwambafai huku wanaoteseka ni wananchi wa kawaida. Lakini kuna utindio wa ubongo mmoja atakuja kuilaumu...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Idadi ya wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Congo imeongezeka maradufu ndani ya wiki moja tangu mlipuko mpya kuthibitishwa, kwa mujibu wa Shirika la Afya la...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Habari za usiku huu Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao. Pamoja na kwa namna tofauti...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
2 Reactions
12 Replies
639 Views
Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na...
8 Reactions
14 Replies
760 Views
Yule msafisha vyo kule Tela Aviv Echolima1 atabisha Mussad imesambaratishwa https://youtu.be/aQrxt3QGeYY?si=6nr9BUNGifEDsNgG
2 Reactions
12 Replies
762 Views
PM Sushila Karki reaches Civil Hospital to meet injured youths. Britanicca
4 Reactions
16 Replies
682 Views
Waarabu na Waisraeli ni watu wanaoamini katika ubaguzi uwe wa dini, jiografia, rangi, ukoo, hata mawazo. Kila hawa ndugu wawili wanapogombana au kupigana, hushutumiana ubaguzi na ugaidi wakati hii...
3 Reactions
12 Replies
518 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…