Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo...
Inasemekana silaha iliotumika imekutwa na chata ya Antifa na trasgender (wanaobadirisha viungo vya ngono na kulazimisha atambulike jinsia mpya)
Antifa ni kundi la mrengo wa kushoto ambalo itikadi...
Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea...
Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika...
Wakuu,
Huko Senegal, Serikali ya imeanzisha “shule za wanaume ”
Kwenye hizo shule wanaume wanafundishwa kuhusu umuhimu wa kushiriki kwenye kazi za nyumbani pamoja na namna ya kumsaidia mwanamke...
Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake...
Hatar mpya katika ustawi na usalama wa mataifa ya magharibi na dunia ilio timamu n muunganiko itikadi ya mrengo wa kushoto na itikadi ya msimamo mkali
Katika usawa huu ambao watoto wenu...
This is commendable. Tomorrow when this country starts doing very well, some people will leave the bad politicians in their country to go and drag jobs with them and even take their jobs because...
"In time of difficulties, we must not lose sight of our achievements."
– Mao Zedong (1956)
HOW IT STARTED & HOW IT ENDED:
1958 – Soviet Union ilijitoa na kukataa kuisaidia China kutengeneza...
Wakuu,
FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk.
Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details...
Wanaukumbi.
Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.
Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo...
Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, amesema nchi yake imekubali kuwapokea raia wa Afrika Magharibi waliorejeshwa kutoka Marekani. Alithibitisha kuwa tayari Ghana imepokea kundi la watu 14...
Huyu Mzee George Zinn miaka 71 alijitokeza yeye ndio muuaji aliyehusika kumpiga risasi na kumuua mwanaharakati wa mrengo wa kulia Marekani Charlie Kirk.
Umati ulishaanza kumshambulia kwa maneno...
Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Angalia: kama sehemu ya mfululizo wa operesheni ya "Gates of Hell" mashariki mwa mji wa Rafah… Vikosi vya Al-Qassam vinafanya mashambulizi ya...
Moja kwa moja.
NB : Huu Uzi umejikita zaidi kuzungumzia harakati za chinichini za Siri na wazi za Mazayuni zenye malengo wa Kigaidi zilizopelekea kuunda Taifa la Israeli .
Kabla ya kuundwa kwa...
Idadi ya vifo kutokana na maandamano yenye vurugu nchini Nepal imeongezeka na kufikia watu 31, huku juhudi zikiendelea kuunda serikali ya mpito kufuatia kuondolewa kwa Waziri Mkuu KP Sharma Oli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.