International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Larry Ellison mwanzilishi wa kampuni ya Oracle amempita Elon Musk na kuwa mtu tajiri zaidi duniani. Leo amevuna kibunda chenye thamani ya $107 bilioni, baada ya hisa za Oracle kuongezeka kwa 43%...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa...
1 Reactions
4 Replies
613 Views
Waziri Mkuu wa mpito nchini Nepal Sushila Karki ameapa kufuata matakwa ya waandamanaji ya kukomesha ufisadi nchini humo wakati alipokuwa anaanza kazi yake rasmi baada ya kushika wadhifa huo...
1 Reactions
7 Replies
410 Views
Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha...
2 Reactions
2 Replies
359 Views
Vyama vya upinzani nchini Sudan Kusini vimesema mashtaka ya uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu yanayomkabili Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi hiyo, Riek Machar, ni ya kisiasa na yanaweza...
1 Reactions
6 Replies
451 Views
Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nikiwa bado kwenye msoto mkali wa lockdown JamiiForums imekuwa sehemu mojawapo ya kuniondoa upweke, asikuambie mtu ni kazi ngumu sana kukaa ndani masaa yote kwa mtu mwenye akili timamu. Leo...
59 Reactions
289 Replies
46K Views
Missiles zinashuka Ashkelon na Tela Aviv kama mvua. https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
2 Reactions
13 Replies
650 Views
Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa...
3 Reactions
2 Replies
375 Views
Msemaji wa IDF: IDF inaendelea kushambulia miundombinu ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi nchini Yemen. Muda mfupi uliopita, IDF ilishambulia miundombinu ya kijeshi ya utawala wa...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi...
4 Reactions
10 Replies
555 Views
https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae...
4 Reactions
17 Replies
940 Views
Poland wamedungua Drones za Urusi zilizoingia kwenye anga yake kimakosa. Hawa jamaa huu ujasiri wa kumvimbia Russia wanatoa wapi?
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option...
10 Reactions
86 Replies
3K Views
Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na...
7 Reactions
94 Replies
4K Views
Ebu tazama mwanasheria wa haki za binadamu katika kikao cha UN akiwakumbusha Pakistan na Qatar kuwa wao ndio sponsa wa ugaidi baada ya kuilaumu Israel
4 Reactions
11 Replies
718 Views
Kwa Wapenda Amani Duniani wakiwemo Vioongozi wa Nchi za Kiislam au zenye waislam wengi na wacheche waache uongo mara moja Dunia imechoka na uongo ambao unasababisha kutokuwepo na Amani... news za...
7 Reactions
125 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi Israel Katz: "Gaza inaungua. IDF inapiga kwa mkono wa chuma kwenye miundombinu ya ugaidi, na askari wetu wanapigana kwa ujasiri ili kuweka mazingira ya kuachiliwa kwa mateka na...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
1 Reactions
10 Replies
565 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…