International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mungu wa majeshi anaendelea kuupigania utawala wake. Pamoja na mbinu nyingi na CHAFU sana zinazoendelea kufanywa na mataifa ya western wakiongozwa na Marekani na Uingereza dhidi ya Urusi naamini...
15 Reactions
117 Replies
8K Views
Uingereza na washirika wake USA na Ufaransa wanadai ukitumia silaha za kemikali lazima wakuadabishe kwa mashambulizi ya kijeshi. Kama ni hivyo kwa nini hawajaishambulia urusi kwa kuwa wanadai...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Huku akiwa na wakati mgumu kwa kuzomewa na wabunge wa Cobservative mara kwa mara lakini spika akamuwekea kinga...Ndugu Jeremy Corbyn anewasilisha maswali mazito kwa waziri mkuu wa Uiengereza juu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu sasa wameshachoka na drama za wamarekani. Wanatengeneza vitu. Mwisho wa mmarekani unakaribia. China yupo kimya na mataifa mengine mengi yenyenguvu yapo kimya. Yanamlia timing tu, muda wake...
5 Reactions
124 Replies
9K Views
Aliyekuwa mkuu wa shirika la upelelezi Marekani FBI James Comey amesema Donald Trump 'hana maadili ya uongozi kushikilia wadhifa wa rais' na ambaye anawachukulia wanawake kama 'kiteweo cha nyama'...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Kila mwaka Marekani hupokea maelfu kwa maelfu ya wageni kutoka mataifa karibia yote duniani wenye lengo moja tu; kutafuta fursa bora kielimu, kiuchumi, kiafya na kiusalama kisiasa. Hakuna taifa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia Makundi ya wanaharakati nchini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bunge letu la Tanzania linahitajika sana sasa KUBADILIKA kilingana na NYAKATI. Tumeimbiwa wimbo wa oh Mafisadi tutawawafunga, Oh mafisadi watajaa gerezani sijui nini. Na matokeo yake ni madogo...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Waamerika walifanya makosa, nadhani hawatayarudia: In Searing Interview, James Comey Unleashes Against 'Morally Unfit' Trump In Searing Interview, James Comey Unleashes Against 'Morally Unfit'...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kim: nina swichi ya nyuklia mezani kwangu. Trump: swichi yangu kubwa zaidi.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau Yulia Skripal 'amefufuka'na sasa yuhai akiendelea na maisha yake kama kawaida huko UK Nimeshtuka sana! Nimeshangaa sana! Nimepigwa na bumbuwazi! Nimejiona mtu wa ajabu sana Sikujua kuwa sumu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu. nimekuwa nikisikia minong'ono kila pakuchapo kuhusu hela iliyotolewa na aliyekuwa rais wa libya marehem Gaddafi ikiwa ni msaada wake kwaajili yakujenga misikiti hapa nchini, lakin watu...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
WASWAHILI WANASEMA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNALENGWA MAWE, SYRIA kulianza waasi saivi wametokomezwa, yakaja magrop ya kidini saivi hayapo, ikaingingia uturuki kidogo baada ya kutunguliwa ndege zake...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku ya jumamosi marekani na Israel walifanya mazungumzo kadhaa kabla ya mashambulizi kufanywa dhidi ya Bashar Assad,pia washauri wa mambo ya usalama wa Neyanyau walizungumza na Ufaransa pamoja na...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa nn hukumjibu tramp katika tweeter, AKAJIBU, mm sijui NA situmii haswaa iyo tweeter, JIULIZE KWA NN RAISI WA MAREKANI ANAJIBIZANA NA BALOZI TU WA RUSSIA [emoji635].???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niulize tu wajameni. Mafuriko Jangwani sasa ni jambo la kawaida. Na inaelekea huko maji yanakokwenda, mikoko ya Kinondoni na Salender Bridge, maji hayaendi. Mikoko imezuia udongo, takataka na kina...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
In this article, I will tell you how Europe went from the status of probably the poorest continent to that of the richest continent in the world, by decimating the black continent. Copied from...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimefuatilia Kwa Muda Kama Masaa Manne hivi weekend hii kuhusu sakata la Kijana Wetu Mark la Kuvuja kwa Data zaidi ya Mil 87 za Watumiaji wake. Na Alipoitwa kwenye Congress senate mmoja anaeitwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Syria strike reduces research center to smoking rubble
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amedai majeshi ya Marekani huko Syria yanatakiwa kuondoka baada ya kutimiza kazi ya kuwatimua magaidi wa Islamic state. Rais huyo wa Marekani amedai ikiwa majeshi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…