International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mtoto wa kwanza wa rais wa Guinea, Ahmed Sékou Touré pamoja na Mkewe washtakiwa kwa tuhuma za kumfanya mtumwa Msichana mmoja kwa miaka 16 Mohamed Touré pamoja na Mkewe Denise Cros-Touré, wote...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jeshi la Anga la Saudia (RSAF) limemuua kiongozi mwandamizi wa pili toka juu wa kundi la waasi wa Yemeni (Houthis) aliyekuwa akiitwa Saleh al-Sammad. Saleh al-Sammad pamoja na mabodigadi wake 6...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MALAWI: Jeshi la Polisi limetoa kauli ya kuruhusu maandamano ya kesho ya wananchi ya kuipinga Serikali, limesema ni haki kwa wananchi kuandamana. Lakini limetaka wananchi watakaondamana...
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Mapema wiki hii China ilitangaza kulipa kisasi kwa kuziongezea ushuru bidhaa za vyakula na kinywaji toka Marekani kwa 25%. Baada ya hatua hiyo Sasa Marekani imeamua kurusha kombora lingine kubwa...
5 Reactions
187 Replies
19K Views
Pale serikali inapozuia maandamano kisha wapuuzi fulani wakaona yana manufaa kwao
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mfalme Mswati wa Swaziland, King Mswati III ametangaza kubadili jina la nchi hiyo na sasa itaitwa King of eSwatini ikimaanisha Ufalme wa eSwatini. Mfalme huyo ametangaza mabadiliko ya jina hilo...
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Mchumba wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Bi. Nonkanyiso Conco(24) amelazimika kuacha kazi katika taasisi(kampeni) ya 'She Conquers' baada ya taasisi hiyo kumtaka afanye hivyo sababu haitaki...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa zimeshambulia nchi ya Syria mapema asubuhi ya leo ikiwa ni kulenga sehemu kadhaa za serikali zenye kuhifadhi silaha za kemikali Shambulio hilo ni juu ya...
17 Reactions
733 Replies
72K Views
Waziri Mkuu wa Armenia, Serzh Sargsyan ajiuzulu baada ya maandamano ya takribani siku 11 aliyojumuisha wananchi pamoja na wanajeshi. Wafuasi wa upinzani walikuwa wakimtuhumu Bwana Sargsyan...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo ni MAOMBI NA MAOMBEZI rasmi kwa wakazi wa Dar-es-salaam Kwa mahitaji mbalimbali piga simu 0755203300 NA ili kuunganishwa na groups la MAOMBI NA MAOMBEZI AFRICA Tuma neno NIUNGE kwenda whatsup...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao. Ummar Khan alikua akisafirisha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele ya bungeni mapema mwezi ujao kujieleza kuhusu “kutoweka kwa almasi zenye thamani ya dola...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kim Jong-un is set to become the first North Korean leader to cross into South Korean territory since the end of the Korean War in 1953, as final details are put in place for the summit. South...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati Waingereza na Makoloni yao wakioendelea kutafuta jina la mtoto wa Mfalme, gun salutes zinaendelea kusherehekea kuzaliwa kwa mfalme mpya!
0 Reactions
3 Replies
885 Views
RWANDA: Serikali yafungia maelfu ya makanisa na mamia ya misikiti huku ikiandaa mkakati wa kudhibiti uanzishwaji wa nyumba hizo za ibada > Rais Kagame akizungumzisa suala hilo amesema kuwa...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Raisi wa 41 wa USA George Bush (93) yuko ICU siku chache baada ya kumpoteza Mkewe. Mke wake, Barbara Bush alifariki akiwa na umri wa 91 na walikuwa wameoana kwa miaka 73. ======= Former...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
April 23, 2018 Toronto, Canada Police in Toronto say they have arrested a male suspect after a white van mounted a curb in the city’s north end, killing 10 people and injuring 15 others. Deputy...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiongozi wa Korea kaskazini atangaza rasmi kusitisha majaribio ya nyuklia na makombora ya masafa marefu na kwamba NK itafunga sehemu zote ambazo zinatumika kujaribia silaha hizo. Rais wa Marekani...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
Mke wa Mwanamfalme wa Uingereza (Prince William), Bi Kate Middleton amejifungua mtoto wa kiume leo tarehe 23 Aprili 2018. Mtoto huyo ni mtoto wao wa 3 baada ya Prince George and Princess...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
KOREA KASKAZINI: Basi limepinduka na kuua watu 36 wakiwemo Watalii kutoka China 32 na Wenyeji wa Korea Kaskazini 4 > Ajali hiyo imetokea katika jimbo la Hwanghae lililoko Kaskazini mwa nchi hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom