Auawa kwa kusafirisha ng'ombe India

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
_98722497_ba051726-d1b1-47da-8c72-4ded7646e8d5.jpg

Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao.

Ummar Khan alikua akisafirisha ng'ombe yeye na mwenzake katika kitongoji cha Alwar wakati walipovamiwa na wahindu.

Wanasema kwamba mwili wa kijana huyo ulitupwa karibu na reli kuharibu ushahidi, Polisi katika mji wa Rajasthan wameanzisha upelelezi juu ya tukio hilo.

Wahindu huamini kuwa ng'ombe ni mungu kwao na huwachukulia kwa namna ya upekee sana, Zaidi ya watu kumi wameuawa tokea mwaka 2015 kwa sababu kama hizo.

Muungwana
 
Akili kama hizi ndo zinafanya kuwepo na Watu wasio amini uwepo wa Mungu!
usilazimishe kila mtu kuamini kile unachokiamini wewe..kama wewe unaamini Mungu wako endelea kuamini hivyo hivyo.
Kama wenzanko wanaamini ng'ombe au miti ndio miungu yao waache waendelee kuamini.
Kwanza wewe unamjua Mungu wako umewahi kumuona??
Sasa wenzanko wanamjua ng'ombe ndio mungu wao
 
Ni wapi nimemlazimisha Mtu kuamini ninacho kiamini mm au niwapi nimesema kuwa ninaamini Mungu? Acha kujivisha upumbavu usiokuwa nao!
 
usilazimishe kila mtu kuamini kile unachokiamini wewe..kama wewe unaamini Mungu wako endelea kuamini hivyo hivyo.
Kama wenzanko wanaamini ng'ombe au miti ndio miungu yao waache waendelee kuamini.
Kwanza wewe unamjua Mungu wako umewahi kumuona??
Sasa wenzanko wanamjua ng'ombe ndio mungu wao
Kwavile wanamuona au?
 
Sasa hawa wakikuta mnapiga ubeche na nyama ya ng'ombe si watawachakaza na marisasi
 
usilazimishe kila mtu kuamini kile unachokiamini wewe..kama wewe unaamini Mungu wako endelea kuamini hivyo hivyo.
Kama wenzanko wanaamini ng'ombe au miti ndio miungu yao waache waendelee kuamini.
Kwanza wewe unamjua Mungu wako umewahi kumuona??
Sasa wenzanko wanamjua ng'ombe ndio mungu wao
mjinga kweli wewe, na wewe mungu wako ni kuku au nini? shwaini kweli wewe, Mungu si binadamu kiasi kwamba unaweza kumwona
 
Waliwahi kamata waislamu wanasafirisha nyama ya ng'ombe. Wakawatafutia mkojo wa ng'ombe kama chai na mavi ya ng'ombe kama mkate. jamaa wakakaa wanatafuna. Ni mambo ya kipuuzi sana.
 
usilazimishe kila mtu kuamini kile unachokiamini wewe..kama wewe unaamini Mungu wako endelea kuamini hivyo hivyo.
Kama wenzanko wanaamini ng'ombe au miti ndio miungu yao waache waendelee kuamini.
Kwanza wewe unamjua Mungu wako umewahi kumuona??
Sasa wenzanko wanamjua ng'ombe ndio mungu wao
So nawe huwamini uwepo Mungu?? Hebu jitathimini mkuu, muda bado upo.
 
Waliwahi kamata waislamu wanasafirisha nyama ya ng'ombe. Wakawatafutia mkojo wa ng'ombe kama chai na mavi ya ng'ombe kama mkate. jamaa wakakaa wanatafuna. Ni mambo ya kipuuzi sana.

Aisshh...jamani....Ama kweli imani is an opium...
 
Back
Top Bottom