Kama usipojua kwa dalili za maelezo yake ya awali then tarajia maumivu makubwa baada ya kuwaruhusu wapumbavu kufanya upumbavu wao kwa kivuli cha demokrasia na uhuru wa kujieleza.hata wewe ni mpuuzi,uwezi kumwita mtu mpuuzi wakati ujajua upuuzi wake,
Nimetumwa na Fikra zangu nikiwaza zile tabu ninazopata kujitafutia raslimali zangu kidogo kihalali halafu wapumbavu fulani wasio taka kutumia nguvu wala akili kutafuta pesa.! Wakitaraji siasa ije iwe mkombozi wao waniharibie mali zangu kwa kisingizio cha maandamano ya kudai demokrasia na uhuru wa kujieleza thats bullshit..!!We mtoa mada,unaonekana umetumwaa so bure,
Bila shaka manake washiriki wengi wangekua vibaka,wavuta bhangi na watu wengine wasiokua na uelekeo ktk maisha.Leo kumekuwa na maandamano kwenye mitaa kadhaa ya Miji mikubwa ya malawi maandamano ambayo yaliaminiwa kuwa yatakuwa ya amani na walio yaitisha yamegeuka kuwa hasara na uharibifu wa mali za watu.!
Je hiki ndicho kilichokuwa kinaliliwa na wafuasi wa Mange Tanzania pia?
Hii ya lini??Pale serikali inapozuia maandamano kisha wapuuzi fulani wakaona yana manufaa kwaoView attachment 758222
Leo 27 04 2018Hii ya lini??