• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

KOREA KASKAZINI: Watu 36 wakiwemo watalii 32 kutoka China wafariki katika ajali ya basi

Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,468
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,468 2,000
1742448__100990842_mediaitem100990841.jpg


KOREA KASKAZINI: Basi limepinduka na kuua watu 36 wakiwemo Watalii kutoka China 32 na Wenyeji wa Korea Kaskazini 4

> Ajali hiyo imetokea katika jimbo la Hwanghae lililoko Kaskazini mwa nchi hiyo

=====


A tour bus has crashed in North Korea, killing 36 people including 32 Chinese nationals, Chinese officials say.

The crash, which also killed four North Koreans, happened in North Hwanghae province on Sunday night.

Chinese state media footage showed the blue tour bus completely flipped over, with part of its body broken.

Experts estimate that Chinese tourists make up 80% of foreign tourists to North Korea - providing an important source of currency for Pyongyang.

China is also the secretive regime's main political ally and largest trading partner.

Earlier, Chinese state broadcaster CGTN tweeted that more than 30 Chinese nationals had been killed after the bus plunged off a bridge - however, the post was later deleted.

There are no official tourist numbers for North Korea, but it is estimated that about 100,000 foreigners visit the country each year.

Tourists are subjected to tight restrictions - most visitors must be escorted at all times outside their hotels by guides employed by the government.

Source: BBC
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
8,083
Points
2,000
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
8,083 2,000
Hivi hizi ajali za bongo huwa zinaripotiwa huko Nje Kama za wenzetu??
!
!
Huku Hizo Sio Habari. Ni Sehemu Ya Maisha
 
64gb

64gb

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
1,156
Points
2,000
64gb

64gb

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
1,156 2,000
Duuuh watu wanatalii hadi North Korea
 
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
7,246
Points
2,000
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
7,246 2,000
Poleni sana ndugu zetu wa damu. Mungu awape wepesi na uvumilivu.
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
11,502
Points
2,000
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
11,502 2,000
Tuko pamoja nao ndg Wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote
Nalog off
 
Reginald L. Ishala

Reginald L. Ishala

Verified Member
Joined
Jun 18, 2011
Messages
2,420
Points
2,000
Reginald L. Ishala

Reginald L. Ishala

Verified Member
Joined Jun 18, 2011
2,420 2,000
Kila nukta na kila dakika ni hatua moja kulielekea kaburi, Yaliyokuwako ndo yatayokuwako na wala hakuna jambo jipya chini ya jua. Jiulize unamalizaje?
 

Forum statistics

Threads 1,403,187
Members 531,106
Posts 34,416,629
Top