Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599

Attachments

  • IMG-20180421-WA0000.jpg
    IMG-20180421-WA0000.jpg
    82.2 KB · Views: 51
Kuna vitu wala sio vya kushangilia nani mbabe kuliko mwingine. North Korea ameshaona kuwa taalumu ya kutengeneza anayo na amejihakikishia kuwa uwezo wa kusafiri hadi umbali fulani, sasa hivi anachohitaji ni uchumi imara ili azalishe kwa wingi hayo madude yake. Ilitakiwa wamwambie bomoa kabisa kabisa hayo maeneo ya kuzalishia hayo makombora sio kusimamisha uzalishaji.
 
Kitendo cha kusitisha nijawabu kwamba USA anatishaaaaaaaa...... Wewe unaenda class one unajifunza kusoma a e I o u. Unajisifi unajua kusoma kumbe Bado kuna ma vocabulary YA kufa mtu Uko mbeleni.... USA watamlegeza weeeee akilegea ma spy wake watapenya kudukua mitambo yake....
 
Kusema ni kitu kimoja na kutenda ni kitu kingine.

Kitu gani kimembana kiasi hicho kipindi hiki au matukio gani yametokea kipindi hiki ambayo yamemfanya adhamirie kwa dhati kutenda anavyosema?

Cha muhimu ni atakayo tenda kuuthibitishia ulimwengu kwamba anaachana na nyuklia kweli. Kingine cha muhimu ni atakacho fanya marekani kuhakikisha jamaa anafanya anavyosema na kuhakikisha NK hatoweza kurudia hiyo makitu
 
Kitendo cha kusitisha nijawabu kwamba USA anatishaaaaaaaa...... Wewe unaenda class one unajifunza kusoma a e I o u. Unajisifi unajua kusoma kumbe Bado kuna ma vocabulary YA kufa mtu Uko mbeleni.... USA watamlegeza weeeee akilegea ma spy wake watapenya kudukua mitambo yake....
U.S.A bado yeye mwenyewe ni kunguru tuu ushabiki ulikua mkubwa sana walivyoshambulia Syria kuja kufatilia undani wa habari kumbe kabla ya kufanya shambulizi lenyewe walimpigia simu RUSIA baada ya RUSIA kutoa ridhaa ndio wakatekeleza shambulio. Achana na hiyo waangalizi wa kemikali wameenda RUSIA kazuia wazi wazi huyu mbabe vipi? Kwa nini asitumie tena ubabe wake kulazimisha kuingia? Kitendo cha North Korea kukubali kusitisha uzalishaji sio cha kufurahia cha kufurahia kilikua ni endapo North Korea angekua amekubali kuharibu maeneo ya uzalishaji wa makombora.
 
Kasema ameshakamilisha mAlengo yake ya kuwa nyuklia state hivyo anasitisha majaribio kwa muda
 
Just because you succeeded at creating something doesn't mean you stop testing. Anachofanya Kim ni kuwaandaa kisaikolojia watu wake

North Korea willing to accept 'complete denuclearization' without conditions, Moon says
 
Kiongozi wa Korea kaskazini atangaza kwamba NK itafunga sehemu zote ambazo zinatumika kujaribia silaha za nuclear
Umeshindwa kumuelewa kim hakusema 1.5B imeibiwa soma hapa chini alicho sema!
180103-kim-jong-un-mc-947_be7a384c16c88904df1eac848baa15a5.focal-1000x500.JPG

North Korean leader Kim Jong Un announced Friday evening that the country has suspended nuclear or missile tests and will shut down a nuclear test ground in the northern part of the country.

North Korea has "reached the target stage, where the nation and people's safety is reliably secured," Kim said. The next stage, he said, is building on efforts to denuclearize, "which is the peace-loving platform of our party."
 
Umeshindwa kumuelewa kim hakuna aliyesema 1.5B imeibiwa soma hapa chini alicho sema!
View attachment 751653
North Korean leader Kim Jong Un announced Friday evening that the country has suspended nuclear or missile tests and will shut down a nuclear test ground in the northern part of the country.

North Korea has "reached the target stage, where the nation and people's safety is reliably secured," Kim said. The next stage, he said, is building on efforts to denuclearize, "which is the peace-loving platform of our party."
The next stage, he said, is building on efforts to denuclearize, "which is the peace-loving platform of our party."
 
Apa nako umeparuka !
will shut down a nuclear test ground in the northern part of the country.
 
Trump alisema Hashindwi na Hajawahi Kushindwa...

Akimaliza Hapo Iran wajiandae...

Hakuna Jiwe litasalia Juu ya Jiwe...
Ile team ya Trump ni ya hatari Mkuu; kuanzia VP, Secretary of Defense, Ambassador to the UN, CIA Chief, etc. ni majitu fulani yako vizuri upstairs na experience ya kutisha. Ni majitu fulani yaliyoandaliwa na mfumo (wao) kuja kuongoza taifa kubwa kwa kuzingatia changamoto za dunia na namna ya kukabiliana nazo kwa kuzingatia maslahi ya Marekani na sio ya chama chao au makundi yao. Hamna shoga mule na wala hawafungishi ndoa za mashoga WH kama mtangulizi wake. Marekani ilihitaji sana timu ya aina hii kwa muda mrefu.
 
Kuna vitu wala sio vya kushangilia nani mbabe kuliko mwingine. North Korea ameshaona kuwa taalumu ya kutengeneza anayo na amejihakikishia kuwa uwezo wa kusafiri hadi umbali fulani, sasa hivi anachohitaji ni uchumi imara ili azalishe kwa wingi hayo madude yake. Ilitakiwa wamwambie bomoa kabisa kabisa hayo maeneo ya kuzalishia hayo makombora sio kusimamisha uzalishaji.
Na ndicho Russia aliwahi sema tangu mwanzo kuwa north Korea walisema hawako tiari kuharibu makombora yao!
Kujaribu pana pelekea kutshia watu maana wana shindwa kuelewa unataka kuwapiga au unajaribu kweli ndicho kinacho ogopesha majirani zake !!
kwaiyo kusitisha kujaribu baada ya mafanikio ambayo kila mtu ana ya juwa ni suala jema!
Anaweza kuja sema ana jaribu kumbe ndio kitu kina tua U.S.!
Ujuwe ata kunoa noa kisu mbele ya jogoo kila mara huwa jogooo huwa na wasi wasi sana siyo jambo zuri!
 
U.S.A bado yeye mwenyewe ni kunguru tuu ushabiki ulikua mkubwa sana walivyoshambulia Syria kuja kufatilia undani wa habari kumbe kabla ya kufanya shambulizi lenyewe walimpigia simu RUSIA baada ya RUSIA kutoa ridhaa ndio wakatekeleza shambulio. Achana na hiyo waangalizi wa kemikali wameenda RUSIA kazuia wazi wazi huyu mbabe vipi? Kwa nini asitumie tena ubabe wake kulazimisha kuingia? Kitendo cha North Korea kukubali kusitisha uzalishaji sio cha kufurahia cha kufurahia kilikua ni endapo North Korea angekua amekubali kuharibu maeneo ya uzalishaji wa makombora.
Tuthibitishie hiyo simu ambayo USA alimpigia RUSIA.
Mana tusije tukawa tunaleteana habri za kiushabiki ili kuonekana USA alimpigia magoti RUSIA.
 
Back
Top Bottom