Gun salute to celebrate birth of royal baby!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Wakati Waingereza na Makoloni yao wakioendelea kutafuta jina la mtoto wa Mfalme, gun salutes zinaendelea kusherehekea kuzaliwa kwa mfalme mpya!

 
Wakati Waingereza na Makoloni yao wakioendelea kutafuta jina la mtoto wa Mfalme, gun salutes zinaendelea kusherehekea kuzaliwa kwa mfalme mpya!

Wewe bwege mbona huzungumzii wakoloni wa CCM wanaopiga Mapesa ya hii nchi
FB_IMG_15239867002388431.jpg
 
Compare and contrast with "mizinga and salute ya Mbinguni" kwa mwana-Mfalme anayetajwa hapo:-

6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

7 Maongeo ya enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe, Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake; Kuuthibitisha na kuutegemeza Kwa hukumu na kwa haki, Tangu sasa na hata milele. Wivu wa Bwana wa majeshi ndio utakaotenda hayo.


then:-

7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

8 Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao. 9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana. 10 Malaika akawaambia, "Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote. 11 Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana. 12 Na hiki kitakuwa kitambulisho kwenu: mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelazwa horini." 13 Mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni likajiunga na huyo malaika, wakamsifu Mungu wakisema:

14 Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao!
 
Back
Top Bottom