Habari Wanajukwaa,Leo katika kufuatilia BBC,nimesikia Korea Kaskazini imekubali kurekebisha SAA zake ziwe sawa na za Kusini.Yani Walikua wanapishana Nusu SAA.Sijaelewa hii imekaaje,Yani nchi...
This interesting prayer was given in Kansas, USA, at the opening session of their Senate. Itseems prayer still upsets some people.When Minister Joe Wright was asked to open the new session of the...
Kiongozi Korea Kaskazini, Kim Jong Un avuka mpaka na kuingia Korea Kusini kwa ajili ya kuhudhuria kikao kati yake na Rais wa nchi hiyo, Moon.
> Kim Jong Un anakuwa kiongozi wa kwanza wa Korea...
Habari zilizotoka Mda mchache uliopita zinasema kuwa
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemwambia Mwenzake wa Korea Kusini Moon Jae In kuwa Korea Kaskazini Tayari Imesitisha kabisa Majaribio...
Mchekeshaji wa Marekani, Bill Cosby(80) amekutwa na hayia ya makosa matatu ya unyanyasaji wa kijinsia.
Cosby amekuwa akituhumiwa kumnywesha madawa na kisha kumfanyia vitendo hivyo aliyekuwa...
North Korea imesema kuwa Iko Tayari Kuwaalika Wataalam wa nje Kusimamia Ufungwaji(close ) wa Mitambo ya Neuclear Mwezi wa 5
Mwaka 2003 dola ya Muamar Gaddafi ndipo ilipo dondoka baada ya...
Takribani watu 25 pamoja na Wanahabari watano wamefariki huku watu wengine 45 wakijeruhiwa katika mashambulio mawili ya mabomu ya kujitoa muhanga asubuhi ya leo Aprili 30, 2018
Shambulio la...
Sikuwahi tegemea kumuona raisi wa N.Korea anayepinga kila kitu cha Western atumie bidhaa za Western.
Lakini nimeona video ya msafara wake wakati akitoka kuzungumza na raisi wa S. Korea anarudi...
Zaidi ya watu 40 wa kabila la Tuareg wameuliwa na wapiganaji wa kijihadi nchini Mali katika eneo la kaskazini-mashariki linalopakana na Niger.
Kundi la zamani la waasi wa Tuareg la MSA pamoja...
Everything I just read here is very true as it happens somewhere on this Earth, but when will all these end before we all say it is enough now???
1. Assertions Of An Alternate Reality Via The...
Katika zama hizi za Siasa za Uchumi imekuwa ni desturi kwa Nchi kubwa kuchochea Nchi ndogo kwa maslahi yao ya Kiuchumi.
Nimefurahi sana kuona Viongozi wa N/S Korea wakiutegua huu mtego na...
Taarifa kutoka Korea ya Kaskazini muda huu ni kuwa nchi hiyo iko tayari kuangamiza vinu vyake vya nyuklia.Hayo yametolewa na Rais wa nchi hiyo Mr Jong Kim un muda si mrefu kupitia TV yao ya Taifa.
Mtandao wa WhatsApp umeongeza umri wa watumiaji wake kutoka miaka 13 hadi 16 ikiwa ni mkakati wa kutekeleza Sera ya Umoja wa Ulaya inayolenga kulinda taarifa za Watu
> Mabadiliko hayo yanatajwa...
Mzuqa wanajamvi!
NI hatarii sana aisee. Kifaa kipya cha former president Jacob Zuma ni balaa. Toto la kizulu lenye umbo la kibantu yani Sheeeda halaf bado ni bikra, Zuma weee mbayaa. Dah kuna...
Mtazamo wa Trump wa kibabe na shinikizo kwa Korea ya kaskazini kwenye mazungumzo yao yanayotarajiwa, dunia isitegemee mafanikio kama tuliyoyashuhudia Jana kati ya Kim na Moon!
Msikie Trump...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.