Iran na Uturuki zahimizwa kuunganisha nguvu zao kupambana na Marekani
Mkuu wa chama cha Vatan cha Uturuki amesema kwamba kuna wajibu kwa Ankara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuunganisha pamoja...
Saudi Arabia imempa saa 24 balozi wa Canada nchini humo kuondoka katika nchi hiyo kutokana na Waziri wa mambo ya nje wa Canada Riyadh kuitaka Saudi Arabia kuwaachia Wanaharakati wa haki za...
Ni mda mrefu hapa jf nilitamani kuweka elimu kidogo kuhusu kifo kutokana na machapisho mbali mbali yaliyo wekwa hapa na maana mbali mbali ambazo members wamekuwa wakitoa kuhusu kifo. Kabla ya yote...
Mnamo miaka ya 1960 Marekani ilipigana vita nchini Vietnam na kundi linaloitwa Viet Cong vita ambayo ilidumu kwa takribani miaka 7. Kuanzia mwaka 1965 mpaka mwaka 1972.
Kwa sasa tukiangalia upande...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kuhusu majina ya hizi nchi za Asia kaskazini na baadhi ya za Kiarabu kuishia na "STAN" mfano
Kazakhstan,Kyrgyzstan,Trukimenistan, Uzbekistan...
Akiwa hospitali baada ya kufanyiwa operation ya moyo, Meghan na Harry waligundua njama za Thomas kuuza picha kwa waandishi wa habari. Thomas alikataa kabisa njama hizi kabla.
Harry alimpigia simu...
Mwalimu mkuu wa shule nchini Burundi amekamatwa kwa kudanganya kuwa yeye ni mwanafunzi akiwa na lengo la kumfanyia mtihani mtu mwingine.
Polisi waliingia kwenye ukumbi wa mtihani ambapo Benjamin...
Daraja la miaka 50 limeanguka jana mjini Genoa, Italia na kuua watu 35. Uchunguzi unaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hii. Serikali ya Italia imesema mhusika mkuu wa uzembe huu lazima awajibishwe.
Walikusudia kutuma chombo hadi kwenye jua, chombo chenyewe kimeandaliwa na kuwa na uwezo wa kustahimili makali ya jua. Japo wameahirisha hadi kesho jumapili.
Vipi Waafrika tuendelee kushabikia...
Takribani watu 35 wamefariki dunia na 16 kujeruhiwa baada ya daraja la Morandi kuanguka huko mjini Genoa leo Agosti 14
Takribani magari 30 na magari makubwa 10 yanadaiwa kuhusika katika ajali...
....wakati vijana wa kiafrica wakilikimbia bara lao na kwenda kuendeleza bara la ulaya...still bado kuna waafrica wanafanya mambo makubwa kuliendeleza bara lao
Now kutana na mmiliki wa kampuni ya...
WANAJESHI 67 wa ngazi mbalimbali wamefukuzwa jeshini kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu. Kati yao, 10 ni maofisa wa ngazi za juu huku 57 wakiwa wanajeshi wa vyeo vya kawaida...
Juzi ilikuwa furaha kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa kupita, kutembelewa na balozi wetu. Mheshimiwa Mr. Ahmada R. Ngemera alifika mapema na hivyo kuwa na sisi kwa masaa mengi tu. Mara ya...
Honourable Lawal Yahaya-Gumau, an APC Candidate representing Toro federal constituency in the House of Representatives, has announced that if elected into the Senate, the Nigerian constitution...
Serikali kusini mwa Sweden imetoa ruhusa kwa Ng'ombe kutembelea fukwe ambazo watu huzitembelea wakiwa watupu wakati wa majira ya joto, ingawa kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa watu katika eneo...
Rais Recep Tayyip Erdogan ameapa kutotii vitisho vya Marekani kuhusiana na mchungaji anaezuwiliwa nchini Uturuki, huku mzozo baina ya washirika hao wa NATO ukizidi, na kusababisha kuporomoka...