International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni...
21 Reactions
147 Replies
4K Views
Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo. Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya...
2 Reactions
10 Replies
668 Views
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula “Tunaruhusu misaada ya kibinadamu...
3 Reactions
89 Replies
3K Views
Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Kwanini China kila ugonjwa mbaya unaanziaga huko? Baada ya COVID sasa umekuja huu mwingine unaitwa Chikungunya na kuna watu 7,000 tayari wameathirika. Mnaonaje China ikatengwa ili mambo...
2 Reactions
19 Replies
960 Views
Shirika la anga la Marekani (Nasa) limepanga kuharakisha ujenzi wa kinu cha nyuklia kwenye Mwezi ifikapo 2030 kama sehemu ya mpango wa kuanzisha makazi ya kudumu ya binadamu kwenye uso wa Mwezi...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Kinachoweza kubadilisha kinachoendelea kutokea Palestina hakuna isipokuwa ni rehma za Allah.Si mataifa majirani,ndugu wala marafiki wa Ulaya pamoja wapenda haki duniani wanaoweza kubadili...
3 Reactions
27 Replies
820 Views
Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa...
2 Reactions
72 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Amir alikuwa mvulana mdogo ambaye alifika bila viatu mwishoni mwa Mei katika mojawapo ya vituo vya usambazaji chakula vya Wakfu wa Gaza Humanitarian Foundation (GHF). Alikuwa...
2 Reactions
13 Replies
502 Views
Mahakama ya Moldova imemuhukumu Kiongozi wa Pro-Kremlin , Evgenia Gutul kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kuingiza fedha kutoka Urusi ili kufadhili chama cha siasa. Gutul amekanusha...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe. Yaani...
20 Reactions
133 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on...
2 Reactions
23 Replies
878 Views
Kikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Kifo katika maisha ya dunia ni kitu cha lazima ambacho humpata kila kiumbe bila uchaguzi.Wako wanaokufa wachanga,wazee na wakongwe. Vifo navyo hutofautiana kutokana kwa namna nyingi sana.Kilicho...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Likizo ya Siku ya Mei Mosi nchini China inageuka kuwa ya kitamaduni isiyo ya kawaida! Kuanzia maonyesho ya kuvutia hadi bidhaa za kitamaduni zinazovuma, majumba ya makumbusho sasa ni chaguo bora...
1 Reactions
23 Replies
625 Views
Back
Top Bottom