Malaysia yapiga marufuku huku ya kifo

Malaysia yapiga marufuku huku ya kifo

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Waziri wa Mawasiliano Gobind Singh Deo amesema hayo huku akifafanua kuwa ni kutokana na upinzani mkubwa wa adhabu hiyo kutoka kwa wadau mbalimbali

Mashirika yanayopigania haki za binadam yameupongeza uamuzi huo ambapo N. Surendran wa Shirika la haki za binadam alisema "Adhabu ya kifo ni kitendo cha kishenzi na ukatili uliokithiri"

Adhabu ya kifo ilikuwa yatolewa kwa anayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu kuanzia utekaji nyara, kukutwa na madawa ya kulevya, uhaini na makosa mengine yanayoendana hayo

Hadi sasa watu zaidi ya 1,200 wapo kwenye orodha ya kusubiri huku hiyo ya kifo ambayo nchini Malaysia hutakelezwa kwa kunyongwa
=======

Malaysia's cabinet has agreed to abolish the death penalty and halt pending executions, a move that has been hailed by international human rights groups and foreign diplomats.

A proposed bill on abolishing capital punishment is likely to be discussed by the government when the Malaysian parliament meets on Monday.

"All death penalty will be abolished. Full stop," a Channel NewsAsia report cited Law Minister Liew Vui Keong as saying.

Keong called for a halt on all executions until the decision is in effect, saying: "Since we are abolishing the sentence, all executions should not be carried out."

"We will inform the Pardons Board to look into various applications for convicts on the [death penalty] waiting list to either be commuted or released," he said.

Communications and Multimedia Minister Gobind Singh Deo confirmed that the cabinet, which met on Wednesday, had resolved to end the death penalty.

"I hope the law will be amended soon," he told AFP news agency.

More than 1,200 people are on death row in Malaysia, which mandates hanging as punishment for a wide range of crimes including murder, kidnapping, drug trafficking and treason, among others.
 
Wamepiga hatua moja mbele![emoji122][emoji122][emoji122]...... Adhabu ya kifo huwa aibu na fedhea kwa wale wanayoitoa na kuisimamia!
 
Naona uislam unaingiliwa kwa kasi wallahi. Malaysia is an islamic country. Uislamu na adhabu za vifo ni chanda na pete.
 
Back
Top Bottom