International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mike Pompeo siku ya leo amelaani vikali tukio la Iran kujaribisha kombora la masafa ya kati yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia.Pompeo alizidi kusema kombora hilo linaweza kupiga popote...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Mwanamume aliyeuawa kimakosa jimboni Alabama, Marekani aliuawa kwa kupigwa risasi mara tatu kutoka nyuma, uchunguzi wa maiti yake umebaini. Emantic Bradford Jr, anayefahamika kama EJ, alipigwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampuni binafsi ya safari za anga za juu ya Marekani SpaceX imerusha roketi ya Falcon 9 iliyobeba satelaiti ndogo 64 kutoka kituo cha jeshi la anga cha Vandenberg jimboni California na kuweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka za China zipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni. Kwamujibu wa maafisa wa serikali, harusi za kisasa si tu ni za gharama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Raia na wanaharakati nchini Tunisia wameingia barabarani kuandamana wakipinga ziara ya mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman. Mwanamfalme huyo ambaye ndiye hasa aiyeshika hatamu za...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Rwanda inapaaa, na watu wanajiuliza; Kagame anafanya nini kilichowashinda marais wenzake? Nonsensical approach to running of state affairs. Kutovumilia upuuzi wa politics of populism...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
SERIKALI ya hapa imetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Rais wake wa zamani, Pierre Buyoya na maofisa wengine 16, kuhusiana na mauaji ya Rais wa kwanza wa nchi hii, Melchior Ndadaye...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa serikali nchini Marekani wapigwa marufuku kukosoa utendaji wa Trump Gazeti la The New York Times la nchini Marekani limefichua kuwa serikali ya nchi hiyo imesambaza waraka wa agizo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
MAMLAKA za dola nchini hapa zimesema zina ushahidi wa kutosha unaoonyesha Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu anahusika na vitendo vya rushwa na ufisadi ingawa yeye anakanusha akidai tuhuma hizo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Maandamano yafanyika Buenos Aires, Argentina kupinga mkutano wa G20 na Bin Salman Raia wa Argentina wamefanya maandamano mjini Buenos Aires, mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga kufanyika mkutano wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jeshi la anga la Syria limedai kuzuoa makombora yote yanayohisiwa kurushwa na ndege za Israel hapo Jana usiku.. Chombo cha habari cha syria Sana kiliripoti. Mashuhuda walisema wameona miale ya...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
RAIS Emmanuel Macron jana alilazimika kuitisha kikao cha dharura na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya mamia ya watu yanayoendelea mjini hapa kupinga serikali. Msemaji wa serikali...
2 Reactions
1 Replies
939 Views
Mapambano ya ‘Kisanii’ Dhidi ya Ukimwi on December 1, 2018 Siku ya tarehe 1 Disemba ya kila mwaka imetangazwa kimataifa kuwa ‘Siku ya Ukimwi’. Maradhi ambayo mpaka sasa bado hayana kinga wala...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Whenever you are dealing with people, you must always remember that there is tomorrow and you might need them tomorrow. You may end up needing help from the people who are asking for your help...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msuguano wa kibiashara unaoongezeka kati ya Umoja wa Mataifa na China unafungua mlango wa wazalishaji wa Kirusi kuingia soko la Kichina, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema katika jukwaa la...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Urusi imepanga kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi yatakayojumuisha Wanajeshi 300,000 mwezi Septemba ikiwa ndio mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi kufanyinga tangu vimalizike vita vya baridi, mazoezi...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Mahakama ya Afrika Kusini imechukua uamuzi wa kuahirisha kesi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jacob Zuma hadi Mei 20, 2019. Jacob Zuma anakabiliwa na mashitaka ya rushwa katika kesi kubwa ya mauzo...
2 Reactions
108 Replies
9K Views
Polisi yataka Netanyahu ashitakiwe kwa madai ya ufisadi Polisi wa Israel wamesema wamapata ushahidi wa kutosha wa mashitaka ya rushwa na udanganyifu wa fedha kufunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Siku Ya Choo Duniani Ni Kejeli Kwa Wanyonge on November 29, 2018 Siku ya tarehe 19 Novemba ya kila mwaka ni ‘Siku ya Matumizi ya Choo Duniani’. (World Toilet Day). Inaaminika kuwa watu bilioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Apo Jana jeshi la wanamaji wa Iran lillikabidhiwa Manowari mbili mpya kabisa ambazo zimetengenezwa nchini umo! Manowari zikizokabidhiwa apo Jana zinauwezo wa Ku sail kwenye shallow water of...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom