Syria yadai kuzuia makombora ya Israel

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Jeshi la anga la Syria limedai kuzuoa makombora yote yanayohisiwa kurushwa na ndege za Israel hapo Jana usiku.. Chombo cha habari cha syria Sana kiliripoti. Mashuhuda walisema wameona miale ya moto angani ikielekea mji Wa kiswah mingine ikiripuka angani... Israel haikuweza kutoa comments yoyote ile zaidi ya kusema habari ni ya kibogus... Inahisiwa ndege za Israel ziliingia anga ya Syria kisha zikafanya yake na kurejea zako tel Aviv licha ya urusi kufunga mitambo ya kisasa ya kutungua ndege S 300 na magari ya kuzuia rada kufanya kazi japo inahisiwa kutokuanza kazi. Mji Wa kiswah kuna makambi ya wairan...
 
Baada ya kufungwa S-300 Syria, Israel mmeanza kuokoteza vi habari uchwara
Israel huwa haitoi matangazo wao ni actions tu.. Habari wanaleta Arabs so unaongea kinyume nyume mkuu.

Habari zinazoendelea ni kuwa kuna maghala ya silaha na ndege ya Iran na makao yao makuu yameteketezwa kabisa na Syria imetungua missile nne tu bila uhakika.na shambulio limekuja baada ya ndege ya Iran kutua
 
Israel huwa haitoi matangazo wao ni actions tu.. Habari wanaleta Arabs so unaongea kinyume nyume mkuu.

Habari zinazoendelea ni kuwa kuna maghara ya silaha na ndege ya Iran na makao yao makuu yameteketezwa kabisa na Syria imetungua missile nne tu bila uhakika.na shambulio limekuja baada ya ndege ya Iran kutua
Hebu turushie hiyo link tujiridhishe wenyewe kilichotungwa....
 
Kwa Mara ya Kwanza tokea Syria ipate S-300 air defense Leo Israel warijaribu kutest maji kwa mguu mmoja kwa kushambulia eneo fulani uko Syria bila mafanikio yoyote kwa maana all missiles fired by IDF were intercepted by Syria air defence with success of 100%....Aya ni mafanikio makubwa kwan makombora yote yalitunguliwa na Israel haikuweza kurusha ndege zake ktk anga ya Syria zaidi walifanya hivyo wakiwa Ktk anga ya Palestine na baadhi ya makombora yalikua surface to surface missile yani kombora linalorushwa tokea chini.....Baada ya makombora ayo kudakwa Syria nao walifyatua kombora moja kuelekea kwenye source ambapo watu walisikia mshindo mkubwa na umeme kukatika upande wa Golan height wa Israel na inasemekana ndege moja ya Israel ilidunguliwa japo Israel wanakana wengine wanasema km sio fighter jet basi ni drone kubwa tu...Hii maana yake ni nini? Hivi sasa Israel anapata shida sana kuishambulia Syria kwamaana hawez peleka jets zake karibia na anga ya Syria hivyo kupelekea kutofikiwa targets za mashambulizi na kupelekea Syria kujiandaa vyema km Israel itakua inashambulia kwa mbali.Pili tumeona Syria nao wanaanza kushambulia ikumbukwe Syria nao wana Surface to Surface missile hivyo lolote linaweza kutokea.....
 
tunataka habari kamili kama hii,na ufafanuzi mzuri,sio kukurupuka na sentensi moja,watu wakihoji unaporomosha mitusi,weka ushabiki pembeni.
 
Weka tuweke
Screenshot_20181130-120810.jpg
 
Back
Top Bottom