International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wizara ya Mashauri ya nchi za Kigeni na Umoja wa Mataifa imesema baraza hilo la Umoja wa Mataifa limepewa miezi miwili kuondoka Burundi Shirika la habari la AFP limeunukuu Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Pakistan: Hatutaendelea kuwa kibaraka wa Marekani Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameeleza namna nchi hiyo inavyojuta kwa namna ilivyoamiliana vizuri na Marekani huko nyuma, akisisitiza kuwa...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakoloni hawakutoa Uhuru Bali walibadili Aina ya ukoloni, kutoka ukoloni mkongwe na kuwa ukoloni Mambo Leo. Pia wakaweka vibaraka wao kuendeleza wizi was rasilimali za Afrika
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Jack Ma mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa kampuni ya Alibaba ametangaza rasmi kuwa Mwanachama wa Chama cha Kikomunisti Atakuwa kati ya Wanachama watakaopewa heshima na Kamati Kuu ya Chama...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Mazishi ya Bush yatumika kama silaha mpya ya vyombo vya habari kwa ajili ya kumshambulia Rais Donald Trump. (Hayati George H.W. Bush) Waandishi wengi wa habari walitumia taarifa zao na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wana bodi. Kwanza kabisa niwakumbushe waliosahau kuwa Tanzania ni nchi ya 6 katika Afrika kuwa na idadi kubwa ya watu ikitanguliwa na Nigeria, Ethiopia, Misri, DR Congo na Afrika ya...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kifaa hicho kilichopewa jina la Chang'e-4 kimeruka siku ya leo kutoka katika kituo cha kurushia satelaiti cha Xiachang kilichopo kwenye jimbo la Sichuan Kinatarajiwa kufika mwezini na kutua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Gadafi alichukuwa na wafica wakristo sana. Lengo lake la misaada kwa nchi za africa lilikuwa na lengo la kuwasilimisha tu. Ndo mana alimsaidia muslamu mwenzake idd amini dada ili kuisambatatisha...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Kampuni ya Uber ya nchini Afrika Kusini imetangaza kupandisha gharama za usafiri kwa asilimia 5 kuanzia Desemba 07 mwaka huu Imeeleza kuwa japokuwa lengo lao ni kuwa na gharama za chini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikki Haley: 'Trump ni kichaa', ndiyo sera niliyotumia UN kufanikisha malengo ya Marekani Balozi wa Marekani aliyejiuzulu, wa Umoja wa Mataifa amesema, ili kuweza kutwisha rai na mitazamo yake...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
RWANDAN COURT drops all charges against government critic Diane Rwigara and her mother Adeline Rwigara. Court rules not guilty of insurrection. -------- Mahakama mjini kigali imesema Mwanasiasa...
5 Reactions
209 Replies
15K Views
Watu 25 wameuawa katika mashambulizi mawili yanayoaminika kutekelezwa na kundi la waasi la Allied Democratic Forces, ADF, katika mtaa wa Beni, mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC)...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Watoto wawili walikuwa miongoni mwa waliokufa baada ya mabishano ya risasi kati ya polisi na kikundi cha wahalifu kaskazini mashariki mwa Brazil. Watu 14, ikiwa ni pamoja na watoto wawili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu 6 wamefariki na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa walipokuwa wakikimbia kutoka nje ya klabu moja ya usiku Ndani ya klabu hiyo ziliibuka taarifa kuwa kuna Mtu amepuliza sumu Hali ilikuwa mbaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kupiganwa vita kwa namna ambayo ilifanya vifo kutokana na njaa na magonjwa kutoepukika, mkuu wa Saudia anapaswa kuhukumiwa kwa uhalifu wa njaa. (Mohammed Bin Salman) Kuna njaa ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Buniani, Papa Francis, amesema mapenzi ya jinsia moja kwa makasisi ni tatizo kubwa na ambalo linampa hofu. Kiongozi huyo ametoa kauli hiyo katika mahojiano na...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Source: Mabaki ya Wafilisti yapatikana Israel Mabaki ya Wafilisti yapatikana Israel 11 Julai 2016 Watafiti wa mambo ya kale nchini...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilifikiri chuki za kisiasa huwa ni hapa africa tu lakini jana katika ibada ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Marekani George Bush Senior baada ya Rais Donald Trump kuwasili aliweza kusalimiana na...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
17 Mei 2018 Rais wa nchi ya watu wawili afariki dunia akitibiwa Israel Source: Rais wa nchi ya watu wawili afariki akiwa Israel Mmoja wa...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais Wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amenukuliwa akisema kwamba 'hutumia bangi ili kukaa macho' katika mikutano ya kimataifa. (Rais Rodrigo Duterte) Rais Rodrigo Duterte, ambaye vita vyake dhidi...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom