ANGA ZA JUU

ANGA ZA JUU

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
Kampuni binafsi ya safari za anga za juu ya Marekani SpaceX imerusha roketi ya Falcon 9 iliyobeba satelaiti ndogo 64 kutoka kituo cha jeshi la anga cha Vandenberg jimboni California na kuweka rekodi ya Marekani kwa kurusha satelaiti kwa wingi zaidi kwenye anga za juu kwa safari moja.
FB_IMG_1543946262265.jpeg
 
fake organization fake news
hawa jamaa huwa wanaenda arizona derset wanatudanganya ni anga za mbali
 
Back
Top Bottom