Iran yatengeneza Submarine 2 Mpya

Iran yatengeneza Submarine 2 Mpya

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,155
Reaction score
2,171
Apo Jana jeshi la wanamaji wa Iran lillikabidhiwa Manowari mbili mpya kabisa ambazo zimetengenezwa nchini umo! Manowari zikizokabidhiwa apo Jana zinauwezo wa Ku sail kwenye shallow water of Persian golf na kuweza kubeba silaha km missiles,torpedoes na under water explosive.... Pia kiongozi wa jeshi la wanamaji wa Iran amesema Manowari zilizokabidhiwa ni aina ya Ghadir/Qadir with 120T pia baada ya kumasta hii teknolojia Iran iliendelea mbele zaidi kwa kutengeneza Manowari nyingine kubwa Mara 5 zaidi ya hizi Ghadir submarine ambapo hadi hizi sasa wanazo takriban 25....Wikend hii watavumbua Manowari nyingine ambayo ni Fateh yenye Tani 600+ na Destroyer meli vita
2 New Submarines Join Iran Navy’s Fleet - Politics news - Tasnim News Agency
 
Balaaaaa
Screenshot_20181130-124740.jpeg
Screenshot_20181130-124707.jpeg
 
Yako uliyotengeneza ipo wapi?
Kwenye jitihada ya innovation kama walivyofanya Iran hutakiwi kubeza.Saudi Arabia pamoja na utajiri wake bado hawezi kutengeneza vifaa vya kijeshi kama Iran.Hata baadhi ya nchi za Asia ukitoa mashariki ya kati haziwezi kutengeneza.Africa ndio kabisaa.Kwanini ubeze jitihada zao?. Hata USA na Russia walianza kama Iran.Ndio maana nimekuambia , TENGENEZA YAKO.
 
Kupest na kukopi sio kazi ngumu
 
Back
Top Bottom